Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Hata mimi miaka mingi sana marehemu bi nkubwa aliniambia hivyo akanionya nikihisi harufu hiyo ninyamaze nisije kukaribishwaSisi tuliambiwa na watoto wenzetu kwamba ukisikia harufu ya wali ujue ni majini.
duh! nlikua na Wiki Sija cheka umevunja kiapo changuUkisikia harufu hiyo ujue upo karibu mwana CCM anayejivua gamba....
Wewe ndio imeingia ndani vizuri! Sio kwamba kuna chatu. Bali kuna nyoka anajivua gamba au ndio tayari kamaliza kujivua muda huohuo!Mie nakumbuka zamani nilikuwa naambiwa eneo hilo lina nyoka anayejivua gamba wakati huo!
Mzee WA Copenhagen huo si ndio mchele wako huo! Unadhani utapata WA mbeya ulaya! Anyway where in Copenhagen? Mimi nlikua hapo jirani tu ukivuka daraja unaingia Marmo then Lund ushafika pande hizo?! Nlikua natembea sana Copenhagen kwenye sehemu yetu ya bangi ile! Ila sivutinatamani nijue huko wapi
Sasa chatu wa kufugwa ana njaa ?? Inawezekana huyo wa porini kakosa msosi kwa muda ikabidi ajiongezeHilo la nyoka kufungua mdomo itakuwa kamba tu maanake nimewahi kuhudhuria maonesho yanayohusu nyoka mara kadhaa hasa chatu na walikuwa wanapiga miayo lakini hiyo harufu ya beche haikuwa ikinukia.
Yawezekana ni utomvu wa miti au maua tu.
Aisee kama ni harufu ya kicheche basi hapa kwetu kungekua kunanukia gogo deile na tena kicheche alivyo mshenzi wa tabia pa kunyea ndio anapaacha wazi na ndio mtego wake kwa kukuwote nie mko wrong-hii harufu ni ya mnyama mdogo sikuumbuki vizuri ni yupi either kicheche au komba akikojoa-mkojo uwa na harufu ya wali
Imaging ni nini ?Hapana mkuu huwa unazidisha. Kuandika kwako ni too low. Jaribu basi ''kujihangaisha'' kujua maneno ya kiswahili yanaandikwaje. Na hii tabia siipendi kabisa kwani inaonyesha watu kutokuwa makini na wavivu. Imaging kuna mtu mpaka kesho anaandika jina la rais kama ''Magufuri''. Tena mtu huyo unakuta ni msomi wa chuo kikuu. Hii imekuwa ni kama utamaduni wa watanzania wote.
Ni ''visual representation'' or the process of producing an exact picture of something,Imaging ni nini ?
Oh asante sasa hiyo visual representation inahusiana nini na kuandika jina la Magufuli kwa ufasaha ??Ni ''visual representation''
''Visualize in your brain'' that someone may write Magufuli's name as Magufuri... can you believe it?Oh asante sasa hiyo visual representation inahusiana nini na kuandika jina la Magufuli kwa ufasaha ??
Aisee kwa tz wap unapatkana maana toka ntoke dunia ya kwanza ni shida tuu na Michele ya Mbeya ahahaha mic u jasmine ricemimi ni LAZIMA nile wali 'jasmine' kila siku ikipita cku sijala nakuwa mgonjwa. Yani kitu kisafi ukikifungua tu hamna haja ya kuchambua na kuosha unakimimina tu sufurian.
Maamaee Wathai
Oh thanks didn't know the word imaging is pretty much the same with imagine or imagining''Visualize in your brain'' that someone may write Magufuli's name as Magufuri... can you believe it?
Kwa hiyo huyo nyoka naye anapika huo wali au?Katika ulimwengu huu kuna mambo mengi mno ya ajabu, kuna kitu kinaitwa miungu, hawa miungu wamegawanyika katika sehemu nyingi, kwenye mito,milima,mapango na mabwawa. Katika hali ya kupatika kwa harufu ya wali huwa mambo mawili, kwanza ni makazi ya miungu hao pili ni makazi ya nyoka ambae kwa namna moja au nyingine nae pia ni miongoni mwa miungu. Unaweza wakati mwingine ukakuta hata vyungu vya kupikia mahala hapo
Teh! Tumemezeshwa myth nyingi sana ... Tuliambuwa kicheche akitaka kuvutia kuku, hujificha kichwa & kiwiliwili chake kwenye majani au kichaka na kuiacha sehemu ya nyuma kwa nje. Kwa kufanya hivyo hufunua sehemu ya haja kubwa, kuiacha wazi (Sehemu hii ni nyekundu) na kutengeneza umbo kama la nyanya ili kuwavutia kuku na ndege wengine wadogo. Atakayejifanya kupeleka kichwa kudonoa, kicheche humbana kichwa mpaka afe then anamla. Sijawahi kuprove kwa macho!!!Aisee kama ni harufu ya kicheche basi hapa kwetu kungekua kunanukia gogo deile na tena kicheche alivyo mshenzi wa tabia pa kunyea ndio anapaacha wazi na ndio mtego wake kwa kuku
Haha hivi mkuu hii ni myth au ukweli ?? Kicheche anaitwaje kwa kingereza tu mgoogle hapa tujue tabia zakeTeh! Tumemezeshwa myth nyingi sana ... Tuliambuwa kicheche akitaka kuvutia kuku, hujificha kichwa & kiwiliwili chake kwenye majani au kichaka na kuiacha sehemu ya nyuma kwa nje. Kwa kufanya hivyo hufunua sehemu ya haja kubwa, kuiacha wazi (Sehemu hii ni nyekundu) na kutengeneza umbo kama la nyanya ili kuwavutia kuku na ndege wengine wadogo. Atakayejifanya kupeleka kichwa kudonoa, kicheche humbana kichwa mpaka afe then anamla. Sijawahi kuprove kwa macho!!!