Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 1,002
Kweli mkuu hasa kwa sisi wakulima na wafugaji hiyo harufu kawaida sana porini ni nyoka anajivua gamba tena wa kawaida tu wala sio chatuMie nakumbuka zamani nilikuwa naambiwa eneo hilo lina nyoka anayejivua gamba wakati huo!
Kwahiyo chatu kwa harufu ya ubwaba nadhani angekuwa anawanasa wazaramo na makabila ya pwani maana ndio wapenzi wa chakula cha mtume.Mimi niliambiwa kua ni harufu ya chatu ili kuvutia windo lake
Hahahaha. Ngoja ikukutenjaa hizo
milk iko kinaitwa kivunja undugu, inshort KIVUNJAAHivi kweli kuna watu wana allergy na wali???
Ruvuma hii au VP?Mie nakumbuka zamani nilikuwa naambiwa eneo hilo lina nyoka anayejivua gamba wakati huo!
Loo hat mim mwenzanguMimi niliambiwa ukisikia hivyo ujue shetan anapika
Muda mwengine utasikia haruf ya rost ya viaz mbatata tena vile vyenye unga haswaaNi kweli ni nyoka huwa anatoa harufu hiyo au nyingine nyekuvutia akiwa kwenye mawindo ya kutafuta chakula na hasa chatu ndio mwenye sifa hiyo kwa kuna baadhi ya wanyama hufuata hiyo harufu ndio hapo anawadaka ila hii harufu ya ndio watu tumeikariri sana pia hutoa harufu ya beberu kama kuna mbuzi akiifuata anamdaka.
Du jamani siyo nyoka wala majini bali huwa ni harufu ya miti furani hivi tatizo sijui jina ila hiyo miti inatoaga matunda madogo madogo meusi hivi, miti hiyo ikifika mida ya jioni hususani jua kinapozama huwa inatabia ya kutoa hiyo harufu
Kwan tatizo nini hapo mbona wewe nae umechapia neno la kigeni?hiyo imaging yako mimi naona yote sawa tu siku ziende maisha yenyewe ya kulemba muandiko yapo wapi?ni kweli mkuu inakera sana! Watu wengi hawajui wapi watumie R na wapi L,tuendelee kuwakosoa tu bila kuchoka.
Kwan tatizo nini hapo mbona wewe nae umechapia neno la kigeni?hiyo imaging yako mimi naona yote sawa tu siku ziende maisha yenyewe ya kulemba muandiko yapo wapi?ni kweli mkuu inakera sana! Watu wengi hawajui wapi watumie R na wapi L,tuendelee kuwakosoa tu bila kuchoka.
Pepsi au coke zero?Mkuu Me sitakimbia nitaifuata harufu ya wali nikiwa na ndizi, pilipili na pepsi ya baridi.