Damu ya yesu iliyomwagika msalabani ikuoshe na uchafu wote.enenda kwa amani ya kristo na usitende dhambi tenaEti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia.
Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa kusimamia vizuri rasilimali zake. Baada ya hapo biashara inakuja tu bila kupenda.
Mfano China ni mkakati mkubwa sana wa kilimo, viwanda vikubwa na migodi.
Urusi wali identify resources zao kama madini nk.
Marekani Waarabu, South Afirica etc.
Kwa kweli tusipokuwa wakweli kwa nafsi zetu tutaumbuliwa hadharani vibaya sana kama huu mradi wa TANESCO ambao hata hauvutii kujadili.
Wafanya biashara watakuja tu, serikali iweke mkazo kwenye uzalishaji.
Resources zetu ni ardhi kwa kilimo madini na mifugo pia utalii.
viwanda vitokane na hayo na visimamiwe na waadilifu wakijua hapo ndio pa kujengea nchi au pa kuiulia.
Ningependekeza jina la nchi yetu lijulikane kwa umaarufu wa hayo yote. Kila moja na uzito wa kutosha.
Mfano wasiwepo watu wasio na uwezo katika hizo sekta, kwa sasa panatakiwa uwajibikaji wa haraka na ufanisi wa hali ya juu kujitoa shimoni zilipo na kuanza kupanda.
Chonde chonde wanasiasa sikilizeni wataalamu,
Majanga gani wakati Mchungaji wa kanisa la MIKOCHENI ASSBLIES OF GOD MAMA GETRUDE LWAKATALE hotel yake ya NEW PALM TREE YA BAGAMOYO inauza Pombe ambayo yeye km mmchungaji anawahubiri waumini wake kuwa ni dhambi?
Mhhh....Hii ngoma bado ni nzito na siwezi kuicheza peke yangu. Naomba aliyeelewa hata neno moja kwenye hiyo post hapo juu anitafsirie tafadhali.
Anauza pombe kama ndio log
Pili huyu bwana uchungaji kaupatanlini jamani HATA makanisa ya sikuhizi wakiona furs a wanakutunuku fasta..nilienda kusali kanisa moja kibaha baadabya mwezi nanusu wanajitangaza bilanhata kunihoji nitakuwa made was kanisa oohh nkawambka nashuhuli zangu ngumu
sijakuelewa kabisa kaka!!
ni aina gani ya lugha umetumia mkuu!!
Mkuu tusaidie hii lugha uliyotumia ni kiyunani, kuebrania au ni kiyahudi? Mimi na nadhani wengi humu hatujakuelew kabisa!Anauza pombe kama ndio log
Pili huyu bwana uchungaji kaupatanlini jamani HATA makanisa ya sikuhizi wakiona furs a wanakutunuku fasta..nilienda kusali kanisa moja kibaha baadabya mwezi nanusu wanajitangaza bilanhata kunihoji nitakuwa made was kanisa oohh nkawambka nashuhuli zangu ngumu
Aisee hata mimi sijamsomasijakuelewa kabisa kaka!!
ni aina gani ya lugha umetumia mkuu!!
Natamani sana niwaelimishe kwani huwa naona wadada wengi wanaolewa na vijana ambao ni mashoga kisiri, kuoa sio tatiZo , wengi wanajificha kwenyendoa ili wasistukiwe ila kisiri unakuta wanalwa na wanaume .
Nasikia huyu jamaa ni mchele mchele pia
sasa amewezaje kuoa na kupata watoto?mnataka kumuua huyu kijana na stori zenu za kichawi.Mshindwe katika JINA LA YESU KRISTO
Jamaa uyu ni shoga..nendeni Sta marrys mtapewa habari zake
sasa na iyo club itakua
ya mashost wenzie bila shaka
hapo sasa mtu akifanikiwa tu shoga na chengine huwezi kumfananisha na kina rio paul au ally rehmtullah anti mudy wa msasani..lakini swali ni kuwa nyinyi mnapata wapi uhakika kuwa huyu ni shoga?