eti mchungaji huyo nae mchungaji
wanaiba tu sadaka za watu,na
nyie waumini mnaovamia makanisa hovyo
mtaisoma namba,makanisa mengi ni biashara tu!!
tulieni kwny madhehebu yenu!!hayaaa weeee!!
hii hata ulaya hakuna! Ila kuna uwezekano mkubwa mungu anaeabudiwa hapo sio mungu mnaemsema nyie humu ndani!
Ni Dhambi Kumshuhudia Mtu UONGO.......May Jesus Forgive Us All
Very serious! Kwa hiyo hapo ni disco la Yesu kwenda mbele, kuanzia Rhumba, Reggae, Zouk, RnB, BLUES, etc.
Sasa wakikesha Club kesho wataamka kuwahi kanisani kweli?
sijakuelewa kabisa kaka!!
ni aina gani ya lugha umetumia mkuu!!
Mimi sipendi kuhukumu lakn vitendo vyake vya kutinda nyusi, kupaka poda, mc wa kitchen parties, mtoa mada wa matamasha ya wanawake ya kina Dina Marios nk. Vinanipa wasiwasi sana