Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Giza na nuru aziendani hata kidogo analijua hili kamaa amuamini ipeni muda na mbaya anapoihusisha namaono ya mungu akuna nuru inayokaa gizani kama àaamini

akamuulze mama rwakatare


hahahaha appostleeeeeeeee harissss acheni masihara watu wa mungi

Inaonekana una ujumbe mzuri ila jinsi ya kuuwakilisha hapa ndio utata. Jaribu kuandika kitu kitakachoeleweka vizuri
 
Hapo hata mimi nitakuwa naenda, safi sana kijana kwa mawazo ya kijasiriamali! Chezea Disco la Yesu wewe!
 
Anauza pombe kama ndio log Pili huyu bwana uchungaji kaupatanlini jamani HATA makanisa ya sikuhizi wakiona furs a wanakutunuku fasta..nilienda kusali kanisa moja kibaha baadabya mwezi nanusu wanajitangaza bilanhata kunihoji nitakuwa made was kanisa oohh nkawambka nashuhuli zangu ngumu
Mhhh....Hii ngoma bado ni nzito na siwezi kuicheza peke yangu. Naomba aliyeelewa hata neno moja kwenye hiyo post hapo juu anitafsirie tafadhali.
 
Je wale wadudu wanaopatikana Ohio au Buguruni ktk 'Billicana' hiyo wanapatikana? Aisee wanda shali neva endi!
 
Inaonekana una ujumbe mzuri ila jinsi ya kuuwakilisha hapa ndio utata. Jaribu kuandika kitu kitakachoeleweka vizuri
Yaani huyo hadi kichwa kinauma kumuelewa anachoandika.
 
Mpwa tutafutane twenzetu tukafungue club! Piga picha hapo Dj Money Stunna anaturusha na pini la Rose Muhando "Utamu wa Yesu"

Hahaha, hapo itakuwa balaaa, mpwa inabidi tutaftane mpwa! Ngoja niongee na mpwa wangu Elli niskie ratiba yake next weekend
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa inaitwa "Yesu anaokoa Night Club"

Kwi kwi kwi...Maajabu ya dunia haya..
 
Labda Watu wawe wanaingia bure. Otherwise mpakwa mafuta amechemka sana
 
Nasikia huyu jamaa ni mchele mchele pia

Si ajabu kuna watu wana mashaka na wewe kwamba ni punga,usiamini kila unalosikia wabongo kwa majungu imeshakuwa ugonjwa,kama jina lako
 
Back
Top Bottom