Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Safi sana kachangamkia fursa Ttz mijitu Mingi ina wivu wa kishamba na kijinga
 
Acheni kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo kana kwamba ni ukweli. Huyu bwana ana mke na watoto wawili!

Nilisema yawezekana mkuu!
BTW: nani amekwambia shoga hana uwezo wakua na familia?
 
Kuna vitu kuvielewa hadi uwe umelewa chakari, sijui hata kama anajisikiliza na kujielewa.

.......kwa mfano ile picha ya Bwana Yesu kafungua moyo wake !.........hivi imepigwaje pigwaje ?!:A S 13:
 
Very serious! Kwa hiyo hapo ni disco la Yesu kwenda mbele, kuanzia Rhumba, Reggae, Zouk, RnB, BLUES, etc.
Sasa wakikesha Club kesho wataamka kuwahi kanisani kweli?
 
sasa amewezaje kuoa na kupata watoto?mnataka kumuua huyu kijana na stori zenu za kichawi.Mshindwe katika JINA LA YESU KRISTO

Kuoa sio tatizo mashoga pia wanasimamisha , kutosimamisha ni ugonjwa hauhusiani na ushoga , shoga ni mwanaume kamili ila anaye vutiwa na jinsia yake ,ila kwa huyu atakua tunaita bisexual yani analala na wanawake na pia ana lalwa na wanaume luga ya mtaani ni inasema kula na kuliwa .Mashoga wa namna hii wako wengi sana na wengi wameoa , kwahiyo mwanaume akioa haina maana sio shoga.
 
Acheni kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo kana kwamba ni ukweli. Huyu bwana ana mke na watoto wawili!


Natamani sana niwaelimishe kwani huwa naona wadada wengi wanaolewa na vijana ambao ni mashoga kisiri, kuoa sio tatiZo , wengi wanajificha kwenyendoa ili wasistukiwe ila kisiri unakuta wanalwa na wanaume .
 
Kuwa shoga na mchungaji hakuna ubaya kwani labda atfbya matendo ndani ya ndoa au kaacha ushoga .msihukumu mashoha ni wengi mnajula nao mna urafikinao na wengine ndio nyie wenyewe
 
kwani huwa naona wadada wengi wanaolewa na vijana ambao ni mashoga kisiri,wengi wanajificha kwenyendoa ili wasistukiwe ila kisiri unakuta wanalwa na wanaume .
wewe ni shoga .je we ni shoga wa aina gani?
 
Issue hapa sikushuhudia uongo,hili Nina uhakika miakwamia, amewahi kuwa na basha lake la kipemba alikuwa mwalimu alikwenda st. Marys kufanya kazi maalumu ya necta.mama rwakatare akaamua kumuhamisha na kumpeleka st Mays mbezi kuwa patroni WA mabweni ya wavulana, huko akawa anawapanga wanafunzi wakiume WA fm 3,4 na A-Level na kumkameruni,mama ewakare akamuita akamwambia mwa angu tatizo bikini,akampeleka kanisani aombele. Bola Dhaka wakati huo alikuwa ANSI.bia kwaya moja inaitwa joy singers. Huyu bwana ndiye yy. Kama mna.faha.u muulize anarafiki take yupo USA. BADO NAMWOMBA KAMA NDIYEYEYE ASIMJARIBU MUNGU WAKE LABDA KAMA KASHA TUBU NA KUOKOKA SAWA NA MPONGEZA

Katika ushoga wengi wao hupenda kufanya kazi karibu na vijana wa kiume, basi alipata bahati sana ya kuweza kuwashawishi vijana wa kiume hapo shuleni wamlale.
 
(watuwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa)
a freedom of press,association and worship zinatumika vibaya hata vichaa wanaabudu,wanaandamana. the end is................and truth shall.........huyo ni mchungaji wa wazinzi,wahasherati,wafilaji n.k hata shetani atjivika umbo la KRISTO. AsHINDAYE......
 
HARRIS KAPIGA, sidhani kama ni shoga, ila anazo homons za kike kama walivyo wanaume wengi tu. ni kweli, wapo wanaume wengi sana wamezaliwa na homorn za kike lakini hawainamishwi. kwa upande wangu nimemfahamu kitambo sana tangu alipokuwa joy bringers kwa rwakatale, akaenda praise power radio, na hata siku yeye na mkewe (mkewe nakumbuka alikuwa daktari kama sikosei) walipotangaza uchumba siku hiyo nilikuwepo na hadi ndoa inafungwa nilikuwepo hata mkewe alipopata ujauzito mara ya kwanza nilimwona miaka hiyo nilikuwa nasali kwa rwakatale. ni kweli kwamba anazo homon za kike kwa sura na sauti na hata mapozi, lakini sidhani kama huo ni ushoga.

kitu pekee ambacho nilikuwa nakiona kwake tangu nimfahamu ambacho nafikiri nitamwambia ili ajirekebishe ni kwamba, kama alivyomwambia mkewe siku ile walipotoka honey moon walipokuja kutoa shukran baada ya kufunga ndoa na hata siku walipotangaza uchumba, nakumbuka yule mkewe aliseme "NAMSHUKURU MUNGU NIMEPATA MWANAUME MZURI". so its like, ni kweli hatuwezi kubisha hasa sisi wanaume kama mimi ambao sura zetu sio nzuri na huwa tunajihisi hatuvutii sana kwa sura kwa wanawake (mimi binafsi ni mweusi, mfupi kidogo na nina sura ya ukali kutokana na ugumu wa maisha niliopitia/kufiwa na wazazi na ndugu mara nyingi na frustration/depression nyingi za maisha).

anajijua kuwa wanawake watamsema kuwa yeye ni handsome, na kweli yeye ni handsome. sasa inaonekana kwasababu alishawahi kuambiwa na wanawake kuwa yeye ni handsome basi anaringa sana. kusema kweli harris anaringa sana, hata mapozi yake, sijui labda ndivyo alivyozaliwa, anapoongea anavyochezesha mdomo na kila kitu ni kama mtu aliyeambiwa wewe ni mzuri hivyo anauonyesha uzuri huo kwa watu.

binafsi sidhani kama harris ni punga, ila ninaomba, watu wamemsema sana kuhusu hili, anatakiwa kuwadhihirishia watu kuwa yeye sio punga. ANATAKIWA KUACHA MARA MOJA KUJIREMBA SANA, NIMEONA PICHA ZAKE SEHEMU NYINGI ANATINDA NYUSI, mara nyingi anakuwa sharobaro kupita maelezo.....mwanaume kama una pesa hata usipojikubua au kutinda nyusi wewe bado kidume tu, kwanini anajitinda nyusi? kwanini anajiparua na mapoda kama wadada? hauoni kama unapofanya hivyo ndivyo unavyozidi kuwadhihirishia watu kuwa wanachosema pengine ni cha kweli?hivi utamwomba Mungu akusafishe kwenye jambo hili wakati wewe bado unatinda nyusi, unapiga mascrub hadi poda why can't you change tukuone kwenye sura nyingine....unajisikiaje mzee unapotinda nyusi? hata kama wewe sio shoga lakini unapotinda nyusi kama wanavyofanyaga mashoga etc na wewe ni mlokole unautukanisha ulokole wote, ni sawa na mwanadada anavaa nguo mbaya za uchi halafu anasem mimi sio malaya, sio malaya wakati unavaa vibaya na unataka tukuamini? inawezekana sio malaya lakini kwa nguo zake watu wanaweza kuamini kuwa malaya na wakatukanisha ulokole wote. wewe umekuwa kioo cha jamii miaka mingi hata kwa wakristo chochote unachofanya na unavyoishi jua hauishi kwaajili yako tu unaishi kwa wakristo, ukijichubua unafanya watu waseme walokole kujichubua au kutinda nyusi wanaume ni sahihi wakati walokole halisi wote watapinga wanaume kutinda nyusi kama wewe...kwanini mzee...

sisi sote tuna dhami, mim mwenyewe nina dhambi nyingi pamoja na kwamba nilishawahi kuwa mlokole hapo kwa rwakatale zamani, naamini Mungu atanipokea na kunirejesha nikasali kwani nimemtenda Mungu dhambi sana, nimekuwa mzinzi nimemtenda mke wangu sana nimezaa nje ya ndoa mimi ni mchafu sio kwamba nakunyooshea kidole kwasababu mimi ni malaika hapana, sisi wote tu wenye dhambi, sasa naomba kama wewe sio punga, acha hizo swaga za kutinda nyusi na kujirembaremba halafu mwombe Mungu akusafishe, kama unasingiziwa Mungu atakusafisha, kama hausingiziwi acha mara moja.
 
Kuoa sio tatizo mashoga pia wanasimamisha , kutosimamisha ni ugonjwa hauhusiani na ushoga , shoga ni mwanaume kamili ila anaye vutiwa na jinsia yake ,ila kwa huyu atakua tunaita bisexual yani analala na wanawake na pia ana lalwa na wanaume luga ya mtaani ni inasema kula na kuliwa .Mashoga wa namna hii wako wengi sana na wengi wameoa , kwahiyo mwanaume akioa haina maana sio shoga.
Mimi sipendi kuhukumu lakn vitendo vyake vya kutinda nyusi, kupaka poda, mc wa kitchen parties, mtoa mada wa matamasha ya wanawake ya kina Dina Marios nk. Vinanipa wasiwasi sana
 
Back
Top Bottom