Harmorapa Fans' Special Thread...

Kweli kuna vijana wanatumia mitaji yao vizuri, Mungu kamnnyima sura kamnyima elimu lakini kuna kitu kapewa, sasa huyo mama kakiona hataki kukiacha.

Punda alinyimwa pembe akapewa masikio, akapewa na mlio wa milele na milele.
 
Ni vzr kama anayependa kupost v2 vya huyu dogo akasubil tukaona kazi mbili tatu ndo akaendelea na upuuzi. Nimechoka kumuona xaxa!
 
Mie nadhani huyu dogo ni houseboy wa huyo binti na binti ni nyumba ndogo ya mtu fulani mwenye vijisenti i.e. billions. Kwa hiyo wameamua tuu kucheza na hisia za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom