Hahahahaha hii nchi bwana unaweza kufanua jambo dogo tu na la kijinga ukawa maarufu... harmo katumia sura yake ya kufanana na harmonize vizuri uyu dada nae akaona isiwe tabu akamtumia harmorapa vizuri
mhh kauli kali na mbaya mno,kwani wahaya siyo takataka,maana kama unaeeza kumuita binadamu aliye kama wewe taka taka basi na wewe ni taka taka vile vile.