dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,145
Mkuu nakuona umetokea kumkubali hamo rapHAHAHAHAHA NOMA SANA
Mkuu nakuona umetokea kumkubali hamo rapHAHAHAHAHA NOMA SANA
Ebu tupia 'pini' lake moja tusikieAnavyo flow mistari. Alafu anademu mkali kuliko mumu
hahahaha Harmo Rappa anazidi kuwakimbizaMnnhh.. Utadhania kapigwa ganzi...

Mkuu upo mkoa gani? !Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Wa kariakoo mnampa kiki huyu kiumbeWale jamaa wa Madale na roho mbaya zao wanazidi ku-panic.
Safari ile walimwita Nyani safari hii sijui watampa jina gani
Hiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua
ndukiiiAcha roho mbaya.Wa kariakoo mnampa kiki huyu kiumbe
Mkuu unaboa na hilo li avatar lako O.... Wewe ni mjukuu wake nnKwao rapa leo wanakula nyama!!![]()
