Kwani anafanya kazi gani!?? Tuanzie hapo kwanza.Alishatoa hata wimbo...?
Ndio sifahamu...watu ambie!Kwani anafanya kazi gani!?? Tuanzie hapo kwanza.
Huyu Harmorapa ukimfuatilia sana unaweza cheka mpaka ufe hahahahaaaa hebu cheki kamlegezo kake
Nimecheka hadi basiHahahaha mkuu yaani nilikuwa najiuliza sasa kile kikopo alichokishika kilikuwa kina ulazima gani kushikwaHapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo
hii eti wanaitanga ni selfie , hata ile nyingine kwani ni selfie kweliSwali nililobaki nalo,
HIZO PICHA WAMEPIGWA NA NANI??

Anavyo flow mistari. Alafu anademu mkali kuliko mumuKwa lipi?
Na shilawaduhii eti wanaitanga ni selfie , hata ile nyingine kwani ni selfie kweli![]()
![]()
![]()
hilo swali alishalijibu yeye mwenyewe, walipomwambianga kafanana naMmmmh hivi huyu jamaa katokea mbuga gani?
