Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Dogo Kaanza na kiki kwanza kisha ndio atatoa wimbo,wenzake wanatoa nyimbo kwanza kisha zinafuata kiki.
 
Daaa, Nitoke vipi? Ndio hii sasa! Hapo ujue jamaa keshatoboa!
Hata akiita show kwa ajili ya kumwangalia tu watu watalipa viingilio. Unajua tena, sasa hata celebrities forum anajadiliwa, Mawingu TV nsa karibia social media zote!
Hata akija kusema tu hi! Watu Wataenda.
From Vingunguti to.......
Safari ndio imeanza!
 
Mimi nimefurahi alivyoingia jikoni, afu akawa anashika hichi anaacha anashika tena kile anaacha, yaani alikua hajui afanye nini kabisa
 
9bf3PACHA2Bwa2BHarmonize2BHarmorapa-360x210.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom