Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote wangekuwa hivyo wasanii wangeonekana watu wa maana sana katika jamii tofauti na sasa inaonekana kama wahuni tu watu wasiokuwa na maadili.

Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom