Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

Mwacheni n'chumali mbona Busta rymes Ni msanii na ni kipande
 
Hapana Arnold na Rambo umri umewatupa mkono both of 'em wanamiaka 70+ unategemea waendelee kuwa vilevile.

IMG_3258.jpg
 
Hivi usanii na uhuni vinaweza kutenganishwa na vikatenganishika?,hasa usanii wa kuimba
 
hivi vijamaa viwili huwa naviona vishamba sana, ila shule ni kitu cha muhimu sana hata kama pesa huna za kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom