Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
dah! me napenda sana shabiki wa namna hii, angekuwa fulani hapa ningeoga matusi ya kutosha, teh!Itakuwa kali tu bada ya kuwa imezoeleka. Big up Hormonizer , big up Mondi
dah! me napenda sana shabiki wa namna hii, angekuwa fulani hapa ningeoga matusi ya kutosha, teh!Itakuwa kali tu bada ya kuwa imezoeleka. Big up Hormonizer , big up Mondi
Nilisikia stori ya Harmonizer kupitia Millard Ayo, wametoka mbali sana na Mondi ni wa kuigwa!Hujui walipotoka mkuu acha walindanee
Sikubahatika kusikiliza lkn ukiwaza kwa fikra yakinifu diamond na huyo ambonise cjui inaonekana wametoka mbali na wapo kulipana fadhilaNilisikia stori ya Harmonizer kupitia Millard Ayo, wametoka mbali sana na Mondi ni wa kuigwa!
Harmonizer alikuwa anatafuta pa kutokea 2014 nafikiri, akapewa kama zari na jamaa fulani namba ya Mondi, akaambiwa mtafute DEE, atakusaidia, the rest is history!Sikubahatika kusikiliza lkn ukiwaza kwa fikra yakinifu diamond na huyo ambonise cjui inaonekana wametoka mbali na wapo kulipana fadhila