Harmonize ft Diamond Platinumz - Bado

Harmonize ft Diamond Platinumz - Bado

Staa wa bongo fleva na mmiliki wa mdundo wa ‘Aiyola‘ Harmonize, leo anakualika tena kuutazama huu mpya alioshirikiana na Diamond Platnumz, Mdundo unaitwa ‘Bado’

Wow nimeupenda, kideo supa...na beats ni bombaaaa.

Yaani Diamond ndio umeamua kutumaliza fans wako wengine sie na hayo ya kuoga na mahaba duh, hadi raha kukuangalia.
 
duh wadau wametoa za uso kwelikweli, sema nyimbo sio kali kama ilivyodhaniwa na angeimba peke yake ndo angepotea kabisa bora kabebwa na ndugu yake, BTW ngoja niisubirie ya baraka na kiba, najua mtoto wa kkoo hatoniangusha kama kawaida yake, teh!
 
bonge moja la kichupa,vocal imetulia ngoma imechangamka safi sana,sema chibu angempa nafasi kidogo harmonize aonyeshe maufundi yake na sio kumkamulia kule kama yuko na davido aisee....ni hayo tu.
 
Dogo mbona hajiamini, mapema Hivi kashaanza kutaka mbeleko wa Diamond? Angesubiri atoe hit kama 4 mwenyewe bila collabo la staa, mi hapo namchukulia mwoga. Halafu kwanini wanazindua kwenye Leo tena, Ni taarabu nini?!

Album yake inashuka mwisho wa mwezi wa tatu, subiria huu ni mwimbo mmoja wapo kati ya nane.
 
duh wadau wametoa za uso kwelikweli, sema nyimbo sio kali kama ilivyodhaniwa na angeimba peke yake ndo angepotea kabisa bora kabebwa na ndugu yake, BTW ngoja niisubirie ya baraka na kiba, najua mtoto wa kkoo hatoniangusha kama kawaida yake, teh!
Kawaida yko kuponda
 
Naweza sema tumeshudia kwa Mara ya kwanza kuona label ya WCB namna inavyokua kwa kasi kubwa na kuweza kuteka industry ya muziki bongo na Afrika kwa ujumla.

Naamin italeta changamoto kubwa ya kimuziki kwa label kama [HASHTAG]#YBNL[/HASHTAG] ya Olamide [HASHTAG]#Mavins[/HASHTAG] ya Don jazz [HASHTAG]#MadeManMusic[/HASHTAG], [HASHTAG]#HKN[/HASHTAG] just to mention afew.

Tayar mastaa kibao washaanza kutoka sapot kwa kijana @harmonize_tz..WCB imeonyesha namna inaweza kufanya investment kubwa ambao msanii uitaji ili kubwa marketable..

Mfno..Image ya msanii(Appearance),Branding an artist, lini ngoma mpya itoke..n Promotion nzito.

Bravo kwa uongozi wote wa @wcb_wasafi kwa kazi nzuri.Namna ya kufanya consistency yan hit after hit nikazi sana kwa wasanii wetu tz ,believe me [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] ni kiboko ya [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] japo haters wapo hawakosi oh Mara ubunifu..but wanasahau kua hii ni mwendelezo wa [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] baada ya kuachwa na anasema [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] maumivu hayajaisha wapi ngumu kuelewa??!!

1. Audio iko superb,ina mashairi kuntu imepangiliwa, producer kafanya kazi yake haswaa pia mzee King Maru ktk saxophone katisha mbaya

2. Video cna usemi, storyline iko njema sasa kwenye rangi mixing(quality ya kiwango cha juu sana) kwenye shots apo ndo nikasema directors watz wajfunze..Huyu ameua balaa

3. Dance sasa, kiukwel mko vzur sana, saiv nafanya mazoez mpka niweze imenivutia sana diamond pale anatikisa kichwa palinogaje.Thumbs up 10/10.

Mission accomplished [HASHTAG]#Masterpiece[/HASHTAG]
 
Ni noma sana hii kazi...jamaa wako serious..hawapigi majungu wanapiga kazi na mashabiki tunaziona
 
ImageUploadedByJamiiForums1456807161.447819.jpg
 
Dogo mbona hajiamini, mapema Hivi kashaanza kutaka mbeleko wa Diamond? Angesubiri atoe hit kama 4 mwenyewe bila collabo la staa, mi hapo namchukulia mwoga. Halafu kwanini wanazindua kwenye Leo tena, Ni taarabu nini?!
True kabisa nilikua nawaza ka wewe! Kwa namna hii maana yake huyu dogo haezi fika mafanikio ya muziki kama watu walivo mtarajia!
 
duh wadau wametoa za uso kwelikweli, sema nyimbo sio kali kama ilivyodhaniwa na angeimba peke yake ndo angepotea kabisa bora kabebwa na ndugu yake, BTW ngoja niisubirie ya baraka na kiba, najua mtoto wa kkoo hatoniangusha kama kawaida yake, teh!
Itakuwa kali tu bada ya kuwa imezoeleka. Big up Hormonizer , big up Mondi
 
Back
Top Bottom