Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 726
- 596
Le
Leo 29February..umesahau kututajia siku na saa bas tukae mkao wa kula
Leo 29February..umesahau kututajia siku na saa bas tukae mkao wa kula
Kapimwe ww kwanza maana thread toka jana ipo sema we umechelewa kuona usisahau kunipa matokeo ya akili ykosawa kwa taarifa,ila mwandishi wa therad hii unatakiwa upimwe akili na madaktari bingwa,unaandika story wakati tukio lipo on line katika tarehe,ungebainisha kwa kutumia maneno rahisi ya kiswahili yanayoweza kueleweka zaidi,jifunze kwenda na wakati ,unapoweka bandiko lako hapa hakikisha linauhai au linaweza kuish muda,ahaaaaaaaaaaaa,unachosha sana wewe
VyoteRomantic ulichopendea ni nn
Mashairi
Beat
Video
Au yule mdada
Umeona mkuu yaani hakuna kipya hapoNaona kama ni extended version ya Aiyola.
Umeona mkuu yaani hakuna kipya hapo