kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,895
Msanii alie chini ya W.C.B, Harmonize amezindua Wimbo wake mpya unaoitwa 'Bado' aliomshirikisha Diamond Platinumz
Pakua MP3:
Harmonize ft Diamond - Bado
Naweza sema tumeshudia kwa Mara ya kwanza kuona label ya WCB namna inavyokua kwa kasi kubwa na kuweza kuteka industry ya muziki bongo na Afrika kwa ujumla.
Naamin italeta changamoto kubwa ya kimuziki kwa label kama [HASHTAG]#YBNL[/HASHTAG] ya Olamide [HASHTAG]#Mavins[/HASHTAG] ya Don jazz [HASHTAG]#MadeManMusic[/HASHTAG], [HASHTAG]#HKN[/HASHTAG] just to mention afew.
Tayar mastaa kibao washaanza kutoka sapot kwa kijana @harmonize_tz..WCB imeonyesha namna inaweza kufanya investment kubwa ambao msanii uitaji ili kubwa marketable..
Mfno..Image ya msanii(Appearance),Branding an artist, lini ngoma mpya itoke..n Promotion nzito.
Bravo kwa uongozi wote wa @wcb_wasafi kwa kazi nzuri.Namna ya kufanya consistency yan hit after hit nikazi sana kwa wasanii wetu tz ,believe me [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] ni kiboko ya [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] japo haters wapo hawakosi oh Mara ubunifu..but wanasahau kua hii ni mwendelezo wa [HASHTAG]#Aiyola[/HASHTAG] baada ya kuachwa na anasema [HASHTAG]#Bado[/HASHTAG] maumivu hayajaisha wapi ngumu kuelewa??!!
1. Audio iko superb,ina mashairi kuntu imepangiliwa, producer kafanya kazi yake haswaa pia mzee King Maru ktk saxophone katisha mbaya
2. Video cna usemi, storyline iko njema sasa kwenye rangi mixing(quality ya kiwango cha juu sana) kwenye shots apo ndo nikasema directors watz wajfunze..Huyu ameua balaa
3. Dance sasa, kiukwel mko vzur sana, saiv nafanya mazoez mpka niweze imenivutia sana diamond pale anatikisa kichwa palinogaje.Thumbs up 10/10.
Mission accomplished [HASHTAG]#Masterpiece[/HASHTAG]