Harmonize avunja record ya dunia ya kuachia Album inayosifia tu Mamlaka

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,680
4,965
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na kiongozi wa juu wa serikali.

Uzinduzi wa Album hiyo uliuzuliwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Muheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Wageni wengine mashuhuri walioharikwa ni Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu kutoka WCB ila hawakufika katika uzinduzi huo.

Mara nyingi Wasanii uitwa kioo cha jamii maana yake ni kwamba wanachoimba ndicho hutokea kwenye jamii. Kama atasifia mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo inalizishwa na mamlaka, na kama atapondea mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo haiko sawa na mamlaka.

Je alichokifanya Harmonize kutoa Albamu yenye nyimbo zote za kusifia Mamlaka ni sahihi kwa afya ya mashabiki na wasikilizaji wake ambao wana itikadi tofautitofauti za kisiasa?

Pia soma: Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024
 
Ndio maana wenye mamlaka walihudhuria uzinduzi huo tukashangaa hiyo albamu ina nini cha ziada mpaka rais ahudhurie uzinduzi wake? Harmonize sasa ni mwanasiasa na kada wa CCM, kajipunguzia mashabiki. Kilichobaki wamuandilie jimbo akawe mbunge huko kwao umakondeni
 
It is business don't get it personal, unadhani atawakomeshaje watesi wake bila kua na akili ya kutafuta mpunga wa maana.
 
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na kiongozi wa juu wa serikali.

Uzinduzi wa Album hiyo uliuzuliwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Muheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Wageni wengine mashuhuri walioharikwa ni Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu kutoka WCB ila hawakufika katika uzinduzi huo.

Mara nyingi Wasanii uitwa kioo cha jamii maana yake ni kwamba wanachoimba ndicho hutokea kwenye jamii. Kama atasifia mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo inalizishwa na mamlaka, na kama atapondea mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo haiko sawa na mamlaka.

Je alichokifanya Harmonize kutoa Albamu yenye nyimbo zote za kusifia Mamlaka ni sahihi kwa afya ya mashabiki na wasikilizaji wake ambao wana itikadi tofautitofauti za kisiasa?

Pia soma: Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024
nimejikuta ghafla namkumbuka yule "Zuwena" wa Diamond.
 
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na kiongozi wa juu wa serikali.
Wewe ulitaka afadhiliwe alipwe, location bure harafu amsifie Kajala?
 
Ndio maana wenye mamlaka walihudhuria uzinduzi huo tukashangaa hiyo albamu ina nini cha ziada mpaka rais ahudhurie uzinduzi wake? Harmonize sasa ni mwanasiasa na kada wa CCM, kajipunguzia mashabiki. Kilichobaki wamuandilie jimbo akawe mbunge huko kwao umakondeni
Wasanii wote ni makada isipokuwa ney wa mitego
 
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na kiongozi wa juu wa serikali.

Uzinduzi wa Album hiyo uliuzuliwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Muheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Wageni wengine mashuhuri walioharikwa ni Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu kutoka WCB ila hawakufika katika uzinduzi huo.

Mara nyingi Wasanii uitwa kioo cha jamii maana yake ni kwamba wanachoimba ndicho hutokea kwenye jamii. Kama atasifia mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo inalizishwa na mamlaka, na kama atapondea mamlaka itamaanisha kuwa jamii nayo haiko sawa na mamlaka.

Je alichokifanya Harmonize kutoa Albamu yenye nyimbo zote za kusifia Mamlaka ni sahihi kwa afya ya mashabiki na wasikilizaji wake ambao wana itikadi tofautitofauti za kisiasa?

Pia soma: Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024
Ni aibu kwa Samia na Harmonize. Ila wote ni washamba hawajui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom