Tunatakiwa kubadilika kwenda na wakati kwa kuajiri wanasiasa wenye the muscle powers na kumaliza matatizo madogo madogo ya jamii!, tumefika stage, tunajengewa na mfadhili hadi matundu ya choo!. Aibu!.Watanganyika huwa tunakosea sana kwenye hili.
Hawa watu tumewajua kupitia muziki, siasa watakua wanalazimisha sababu za umaarufu wao kitu ambacho sio sahihi?
We have to be serious.Tunatakiwa kubadilika kwenda na wakati kwa kuajiri wanasiasa wenye the muscle powers na kumaliza matatizo madogo madogo ya jamii!, tumefika stage, tunajengewa na mfadhili hadi matundu ya choo!. Aibu!.
Hawa madogo wana mkwanja mrefu, hata Iringa mjini nimeshauri waende na Fred!, siasa za kisasa sio siasa za blah blah, ni siasa za something!.
Mimi nikijipima uwezo wangu wa kuchangia hoja, naujua, nimeshuhudia jinsi tulivyojaza mijitu mijinga kule mjengoni, nikaamua 2020 na mimi nijitokeze Kawe nikasaidie, nikajinadi kwa mkono mtupu, nikala za uso!.
Mwenzangu Gwaji Boy kwanza alifanya 'mambo', kisha akaahidi kuleta Tingatinga 10, kila kata tingatinga lake litachonga mabarabara ya kila mtaa, na kila mtaa atatoa lori za tipper 2!.
Wavuvi wa Kawe wakaahidiwa kupelekwa Japan kujifunza na kupatiwa boti 100 za kisasa za uvuvi. Wajasiriamali wadogo wakaahidiwa kupelekwa Birmigham, Marekani na kupewa mitaji!. Kitaifa akaahidi kuleta Jet na kujenga reli ya treni ya umeme kama ulaya. Nikatoswa, akapitisha, sasa ni miaka 5 he delivered nothing!. Angekuwa Dai ama Harmo , angalau angeweza kufanya kitu!.
Angalia Dai alichowafanyia wana Tandale Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!. akiwa mbunge atafanya makubwa!.
P
KabisaVilaza wanazidi kujipenyeza nafasi nyeti, Nchi ya ******* hii, utashangaa anakua kweli mbunge
Ukimuona Harmonize na kipaji alichonacho na lebel aliyonayo lakini bado kaona Siasa ina hela, tujiulize sana kuna nini huko kama taifa tunaelekea wapi ? Mshahara wa mbunge haukupaswa kuzidi hela ya mwalimu ila tatizo tumepata viongozi wachumia tumbo na sasa hata hawajui huko bungeni wafanye nini zaidi ya kumshukuru mama Samia na kupiga makofi jioni wakasign posho na pensheni ambayo ni jasho la umma maana hawalipi kodi na hawachangii hata 10. Nakulilia Tanzania 😭😭😭
We mzee akili zishaanza kurudi utotoni.Namuunga mkono, hata mtoto wa Tandale niliwahi mshauri. Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.
P
kwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。We mzee akili zishaanza kurudi utotoni.
Harmonize ndio awe mbunge..
Napenda muziki wake ila akili zake ni mbili kasorobo.
Kwahiyo faza, kuwa na mbunge kama yule TALE TALE kwako ni sawa, Faza mbona unatafuta tuongee kauli tupate radhi kwa kuwakosea adabu watu wenye uwezo wa kuwa baba zetu!!!kwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。
P
Asante kuniheshimu Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! Dai,Hamo,Wopa,Balevo,Mwijaku hata Magari,wanaweza kuwa wabunge wazuri tuu, hata Gigi!Kwahiyo faza, kuwa na mbunge kama yule TALE TALE kwako ni sawa, Faza mbona unatafuta tuongee kauli tupate radhi kwa kuwakosea adabu watu wenye uwezo wa kuwa baba zetu!!!
Akina msukuma na wangine design yake ni kupiga meza tu, hoja zenye terminologies za kisomi wao ni ndio ndioooKwa unyeti wa hii taasisi "bunge" ilitakiwa angalau kigezo mtu awe na degree
Hivi tuseme ukweli kama ile bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 yale maneno ya kiuchumi na financial terms alizokuwa anatamka Mwigulu, hivi kweli Musukuma alikuwa anaelewa au alikuwa anapiga tu meza ipite?
Hyo dogo kama kweli atapita basi bunge litakuwa limeongeza kilaza mwingine mgonga meza
Tale aliweza au alibebwa kwa upepo wa jpm? Mtu hata kujielezea ni changamotokwani mtu kuwa mbunge Tanzania,unahitaji akili za nini?, unahiaji kuwa pesa tuu!。Pesa anazo, why not?,kama Tale Tale ameweza, nani atashindwa?。
P
Lazima nikupe heshima sababu mimi mtu mwenye 60+ anafaa kuwa mdingi.Asante kuniheshimu Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! Dai,Hamo,Wopa,Balevo,Mwijaku hata Magari,wanaweza kuwa wabunge wazuri tuu, hata Gigi!
P
Ni heri nchi yeyote duniani kuongozwa na utawala mkali wa kiislam na kiimla kuliko kuongozwa na wabunge wa jinsia ya kiume waliotoboa masikio na pua pamoja na kuvaa hereniMwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa.
Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye aliweka wazi kuwa anatamani Mwimbaji huyu akagombee Ubunge wa Tandahimba ingawa kwa wakati huo Harmonize alionekana kutokuwa tayari kugombea kiti hicho.
Hayati JPM alinukiwa akisema; "Lakini nampongeza sana Harmonize sijui anatoka Jimbo gani?, Tandahimba?, Mbunge wa kule ni nani?, (Katani), aah ningetamani sana Harmonize aende akagombee kule awe Mbunge wa Tandahimba"
Akiongea na Ayo TV kwa njia ya simu, Harmonize ambaye alizaliwa Kijiji cha Chitoholi Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara, amesema alichokiandika saa kadhaa zilizopita kuhusu dhamira ya kugombea Ubungo sio kitu cha utani bali anamaanisha ambapo muda ukifika atakwenda kuchukua fomu kupitia CCM ili aombe ridhaa ya Chama hicho kimpitishe kugombea.
Lazima nikupe heshima sababu mimi mtu mwenye 60+ anafaa kuwa mdingi.Asante kuniheshimu Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! Dai,Hamo,Wopa,Balevo,Mwijaku hata Magari,wanaweza kuwa wabunge wazuri tuu, hata Gigi!
P
Chitoholi ,ndoto ilikuwa kucheza Ball.Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa.
Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye aliweka wazi kuwa anatamani Mwimbaji huyu akagombee Ubunge wa Tandahimba ingawa kwa wakati huo Harmonize alionekana kutokuwa tayari kugombea kiti hicho.
Hayati JPM alinukiwa akisema; "Lakini nampongeza sana Harmonize sijui anatoka Jimbo gani?, Tandahimba?, Mbunge wa kule ni nani?, (Katani), aah ningetamani sana Harmonize aende akagombee kule awe Mbunge wa Tandahimba"
Akiongea na Ayo TV kwa njia ya simu, Harmonize ambaye alizaliwa Kijiji cha Chitoholi Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara, amesema alichokiandika saa kadhaa zilizopita kuhusu dhamira ya kugombea Ubungo sio kitu cha utani bali anamaanisha ambapo muda ukifika atakwenda kuchukua fomu kupitia CCM ili aombe ridhaa ya Chama hicho kimpitishe kugombea.
Namuunga mkono, hata mtoto wa Tandale niliwahi mshauri. Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.
P
Sasa inahusu nn na kuwa Mbunge? LolHuyu kijana wake alisema ana michezo ya kufukua tope, serikali na chama vime mkumbatia
inahusu kwa namna flani, au haujui ?Sasa inahusu nn na kuwa Mbunge? Lol