Safari ya ndege kutoka TZ ni madakika lakini Harmonize💩alipofika jana Kenya pia alialikwa CitizenTV,10over10 Program! Pamoja na artist wengine ambao walikuwa hosted!
Wao waliitupea kionjo na kutuburudisha lakini hamornize akatayarishiwa podium vizuri akaulizwa maswali vizuri!akaamua ajibu na kizungu mingi alafu ni kama mtu hataki kujibu!
Akaambiwa apige show ya kionjo kama wasanii wengine walivyofanya lakini akaanza zile zake😬😬eti,"well am tiredi nimetoka safari refu kutoka darrrr you know,sijui sijui this that this!is not easy my friend you know eheee!💩
Aende ndani kamiti straight akitoka kileleshwa policestation!😬