Harith Mwapachu afariki

GO9G7177.JPG
Hivi schedule yake huyu kiongozi wetu mbona iko loose loose tu? Yani jamaa nchini hakai, akikaa hayuko ofisini, siku haipiti bila kumwona Kikwete kwenye vishughuli vya tafrija, misiba ya ma cousin wa viongozi, futari, safari za Bagamoyo, sijui kumwona waziri anasumbuliwa na ngozi na vishughuli vingine visivyohusiana na kazi, hayuko Ikulu, ukimkuta Ikulu ujue anamkaribisha Dwight Howard wa NBA, Hashim Thabit, sijui CEO wa Vodacom, sijui anakutana na ma shehe na ma sista, yani huwezi kumwona yuko Ikulu anatangaza government policy au ana huggle na legislators, ni vishughuli mwanzo mwisho...
 
We unaonekana humjui Mk..wer..e. Mk.wer..e hizo ulizotaja ndiyo kazi anazomudu. Akisikia tena mtaa fulani wa Kigogo Luhanga kuna ngoma ndio kabisa haonekani Ikulu au vijijini!
 
Nawapa pole wanafamilia wa Mwapachu kwa kuondokewa na mpendwa wao ,marehemu alikuwa tofauti sana na watoto wa wakubwa tunaowajua ,alikuwa ni mstaarabu na aliishi maisha ya kawaida sana hapo Mikocheni ,pia huyo kijana alikuwa mahiri sana kwa kuongea lugha ya mama ni kama vile alizaliwa pale Oxford uingereza
 
Nani kasema ni lazima awe mwanasiasa au asiwe? Jibu swali, Mwapachu ni maarafu au ana jina kubwa katika historia, kwa lipi? Usinitajie vyeo vyake na amezaa watoto wangapi "walevi na mashoga" Amefanya nini na hivyo vyeo vyake kuwa "maarufu...kwenye historia ya Tanzania"? Ametusaidia ku achieve nini na ma vyeo yake?

...wee ***** kama unataka kujua uliza kistaarabu sio kutoa kashfa na kuita watu walevi,we kama humjui wenzako wanamjua na ndio maana wameleta topic humu na hata kwenye msiba wake umeona maraisi na viongozi wa juu wameenda,wivu utakuua wewe na ushamba wako...seems uko bitter sana na maisha yako na roho yako ya korosho.
 
jina la mwapachu ni kati ya majina makubwa sana katika historia ya nchi yetu - anyeujua ukoo huo atudadavulie. kwa vyovyote vile naungana na wombolezaji. RIP.

unaposema ni jina kubwa kwa upande hupi? ufisadi au anti- fisadi
maelezo tafadhali,
hivi hii nchi ina historia gani?
 
...wee ***** kama unataka kujua uliza kistaarabu sio kutoa kashfa na kuita watu walevi,we kama humjui wenzako wanamjua na ndio maana wameleta topic humu na hata kwenye msiba wake umeona maraisi na viongozi wa juu wameenda,wivu utakuua wewe na ushamba wako...seems uko bitter sana na maisha yako na roho yako ya korosho. [/FONT][/COLOR]

hapo umepotosha wameenda kama maswahiba,
 
tatizo la kuwa watu wa matukio ndiyo linalowasumbua baadhi ya watu humu. Hivi leo mtu ukisikia, Madaraka Nyerere kavunjika mguu, ktk hali ya kawaida lazima utakuwa 'concerned' sio kwa sababu ni mtu mkubw, la hasha, ila ni kwa sababu ni mwanafamilia ya Mtu maarufu. Sasa hayo mambo ya vyeo ya nini wakuu. Inatosha kujua tu kwamba mtu maarufu amepatwa na msiba, kama vipi nenda kashiriki msibani.

Huu ni uwanja wa kuelimishana, kupashana habari na ushauri pia. Sio kila litakaloongelewa humu ndani, basi ni lazima liwe jambo unalolifahamu au unalotaka liwe muhimu kwako. Ukiona lakufaa chukua kama halikufai liache kwa kulitolea maelezo ya kuliboresha ua lipotezee jumla jumla.

OK!
 
Mleta thread anaonekana kujikomba kwa Mwapachu. Huu ni ujinga wa namna yake. Unapoleta thread ya mtoto wa mtu unayemuona ni maarufu ni upuuzi. Kama mhusika angekuwa na nafasi katika jamii yetu na si baba yake tungekuelewa. Acheni kujikomba. Hata angekufa mtoto wa rais it is not a big deal. Kwani yeye ni rais? Au ni yale ya akina Ridhiwan na Salma nao kuwa na shea katika urais wa Jakaya. Eti majina makubwa. Kila jina ni kubwa tu mradi mwenye nalo ameridhika nalo. Hapa hakuna cha ukubwa wa majina wala koo bali hoja. Wabongo tufikie mahali tubadilike tuanze kutumia vichwa badala ya masabauri.
Harith amekufa so what? Mara ni Muislam mwenzetu kwani JF ni ya wa-dini au wananchi? Acheni ujuha tunazidi kuachwa nyuma.
 
Widows, children of Zanzibar presidents to receive pension

By The guardian reporter

13th October 2011

A bill on leaders' benefits is expected to be tabled in the Zanzibar House of Representatives, seeking to allow widows and children of retired presidents receive monthly pensions.
The other beneficiaries would be wives and children of retired vice-presidents, who before the 10th amendment of the Zanzibar constitution, were known as Chief Ministers.
The Bill would be tabled in the House of Representatives Session expected to start soon in Chukwani in Zanzibar town by the State Minister, President's Office (State House), Dr Mwinyihaji Makame.
The Bill reads that if a retired president dies, the widow would receive a pension worth the salary her late husband was receiving while still in office.
Under the Bill, children of a retired president, once he dies, would receive a monthly pension worth the minimum basic salary of a civil servant until they reach the age of 18.
However according to the Bill girls would continue receiving the pension until they get married.
The Bill also stipulates that a retired president would continue receiving terminal benefits to the tune of 50 per cent of the salary he was receiving while still in office calculated against the number of months he was president.
The Bill explains that a retired president would receive a pension which would be 80 per cent of his monthly salary, and 80 per cent of allowances he used to receive.
The house that he would occupy after his term in office would be paid for up to 50 per cent of the monthly pension, if he chooses to live in a house other than a government one.
The Bill if passed into law would also see aides to the retired president being paid for by the government, so would water, electricity and health bills as well as their salaries. The staff would include four domestic help, two guards, two aides and a personal secretary.
The retired president would also be paid 400,000/- for telephony communications on a monthly basis, and have access to two government vehicles, two chauffeurs and other related benefits.
The Bill proposed almost similar terms for retired vice presidents, whereas 300,000/- would be the amount paid for telephony communications on a monthly basis.
The Bill also stipulates that all international and national travel expenses of the retired president or vice-presidents would be covered by the government.
The Bill proposes benefits for top retired leaders including Attorneys General, ministers, deputy ministers, advisors to the president, speaker and politicians.
The Bill, if passed into law, would repeal Act Number 4 of 1984 as well as Chapter 6 of 1999.
The House of Representatives is about to start yet another Session soon.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
HATA MIMI IMENICHANGANYA SANA KWANI NInaVyojua MIMi kWAMBA HArITH MWAPACHU NDIO JINA LA BAKARI MWAPACHU MWENyEWE,NINAVYOFIKIRI MIMI HUYO ATAKUWA NI MTOTO WA JUMA MWAPACHu ,HII HABARI IMEANDIKWA KWA KUTUCHANgANYA,HAIELEWKI KABISA NAFIKIRIA MTOAJI AU MWANDISHI WA HII HABARI HAKUWEZA KUIWEKA SAWA SAWA ILI IELEWEKE VIZURI,MWENYEZI MUNGU ATAIWEKA ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI,..AMEEEN.
 
Mbona habari ya 2011?
 
Hivi schedule yake huyu kiongozi wetu mbona iko loose loose tu? Yani jamaa nchini hakai, akikaa hayuko ofisini, siku haipiti bila kumwona Kikwete kwenye vishughuli vya tafrija, misiba ya ma cousin wa viongozi, futari, safari za Bagamoyo, sijui kumwona waziri anasumbuliwa na ngozi na vishughuli vingine visivyohusiana na kazi, hayuko Ikulu, ukimkuta Ikulu ujue anamkaribisha Dwight Howard wa NBA, Hashim Thabit, sijui CEO wa Vodacom, sijui anakutana na ma shehe na ma sista, yani huwezi kumwona yuko Ikulu anatangaza government policy au ana huggle na legislators, ni vishughuli mwanzo mwisho...

Anafata suna ya Mtume
 
Back
Top Bottom