HAZOLE
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,551
- 708
sijui kama ni yeye, kuna kijana mmoja mtoto wa mwapachu tulikuwa tunashinda wote pale mikocheni B njia ya kwenda kwenye kota za mawaziri nyuma ya radio one, alikuwa anakunywa sana pombe. alikuwa simple sana, sijui anacheo gani ila nadhani alikuwa na biashara zake tu. naomba unijulishe maana ni mwaka tangu nihame mitaa ya mikocheni. RIP boyMtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un