Bado hujanijibu nikakuelewa, yaani alikuwa nani katika jamii hadi ukafikia kuleta thread humu ndani? Mimi namfahamu Bakari Mwapachu yule aliyewahi kuwa Naibu Waziri kipindi kile Usamala wa Raia baade ikaletwa tena Mambo ya Ndani. Ndiyo huyo mwanae, vinginevyo mwaga CV ya marehemu badala ya kuishia kusema amekufa.
Marehemu.Alikua na cheo gan kwan?
Alikua na cheo gan kwan?
Jina kubwa katika historia yetu kivipi? Alifanya nini kikubwa huyo Mwapachu?jina la mwapachu ni kati ya majina makubwa sana katika historia ya nchi yetu - anyeujua ukoo huo atudadavulie....
jina la mwapachu ni kati ya majina makubwa sana katika historia ya nchi yetu - anyeujua ukoo huo atudadavulie. kwa vyovyote vile naungana na wombolezaji. RIP.
Juma Mwapachu ni mdogo wake Harith Bakari Mwapachu.Aliyefariki ni Harith Mwapachu, kijana, mtoto wa Juma Mwapachu. Juma Mwapachu ni kaka yake na Bakari Harith Mwapachu.
wewe kweli kiazi tena vile vya Gairo..yaani kama hatumjui huyo Harith Mwapachu..basi tumetoka interior na tuvumiliwe!!..Wewe kwa kumjua huyo mtoto imekuongezea nini??...Acheni ushamba bwana!!Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie
Cheo si muhimu. Umuhimu ni kwamba alikuwa BINADAM, ndugu yetu, Muislam mwenzetu!
Innalilahi Wa Innalillahi Raaj'un!
Lol.... Umenichekesha sana!...haya RIP kijana wa mtaani kwa Shark...Kama ndiyo style yenyewe basi nami hapa mtaani kuna jamaa mmoja mi mwenyewe simjui sawasawa kafariki jana usiku kwa ajali ya gari,
Nimwagieni hizo pole basi.
Na mkitaka jina ili mtume RIP zenu, nyie tumieni "kijana" tu, maana mi mwenyewe simjui vizuri kwa jina.
Wewe kama humjui kuna wanao mjuwa yeye au wanaoijuwa family yake. Kwa hiyo, si lazima u comment na kubishana.wewe kweli kiazi tena vile vya Gairo..yaani kama hatumjui huyo Harith Mwapachu..basi tumetoka interior na tuvumiliwe!!..Wewe kwa kumjua huyo mtoto imekuongezea nini??...Acheni ushamba bwana!!