Hard working woman

Hard working woman

lara 1 ni mamako huyu huyu aliyekuwa anafuga kuku na kufanya overtime ili msome au?
well ni kutaka tu kusema kuwa familia nyingi na hatukuanza sisi leo
vitu vinarun kwa nguvu ya mama!
hili nilikua nikiliona nafikir sidhani kama naweza kubadilika sasa!

Alifuga kuku wakati Mdingi kazamia nchi za watu! Before and after, mdingi akiwepo majukumu ya dingi hafanyiiiiiii! Hela zake ni mambo yake na kutupa sisi kwa ajili ya kujipoza na extra circula activities.

Achana na Mama yule! Hataki ujinga ujinga! We kazini uende, biashara ufany kutoa hela ndani ndo uwe huna? Ah wapi! Sawa huna sasa hivi, katafute basi, ukija utakuta viporo vya majukumu!
 
babu wewe hujawah kuona haya??
ni ukweli usiopingika kwamba familia nyingi zina run kwa nguvu ya mama.
tena tokea tuakua hadi leo bado mama amekuwa ni mwezeshaji wa kila jambo katika familia kwa mikono yake mwenyewe.

Mara nyingi nimeona familia zile ambazo libaba linakuwa lofa (hopeless in almost everything) kiasi kwamba mama anaamua kubeba mizigo yote.

Ila familia ambayo libaba linabaku kuishi kwa kugawa mapenzi kama beberu la mbuzi hapana kuona mimi....!!

Babu DC!!
 
rafiki yangu FP, kwanini kila mara uwe ndo mtu unayeazisha jambo wewe?? binafsi mie kwangu iko hivi nitasema kazi iliyoko mbele yetu ila silazimiki kukwambia toa hela ili kufanikisha manake ni wazi wajua kwamba unatakiwa kutoa na usipotoa ala sikuulizi manake ya nini?? kwan wewe ni mtoto??
mara nyingi huwa nafanya hivyo, lakini nafanya kwa kitu nilichokuwa na uwezo nacho.....
siyo kujigeuza power tiller na wengine wanalala tu.
unajua rafiki kitu ambacho hakiniingii akilini wakati mimi nafanya kila kitu yeye hela zake anakuwa anafanyia nini? kama kila kitu hajigusi si mwenzangu atakuwa bilionea huko benki?
 
Mara nyingi nimeona familia zile ambazo libaba linakuwa lofa (hopeless in almost everything) kiasi kwamba mama anaamua kubeba mizigo yote.

Ila familia ambayo libaba linabaku kuishi kwa kugawa mapenzi kama beberu la mbuzi hapana kuona mimi....!!

Babu DC!!
basi mie nimeona hizi manake nilipokuwa nakuwa baba yangu alikuwa mtanashati asiyependa shida mama akatumika kuwezesha kila jambo nyumban mahal ambapo sikuona baba akileta utanashati ni kwenye kupokea hela tu hasa baada ya kuuza kahawa.

na sikuwah kuskia ugomvi kati yake na mama mpaka leo nimezeeka mie
 
hahahh! umepinda wewe.
kuna mambo yanaudhi rafiki yangu.....
haya najua yapo sana kwenye baadhi ya familia, lakini kwa nini mtu afanye hivyo? kama hana kipato kikubwa inaeleweka na anaweza samehewa, lakini kama ana kipato cha maana kwa nini ategee?
na hiyo dose hakuna lolote, usanii mtupu..... ni njia tu ya kunyonya damu ya wenzie.
mtu kama huyo unatakiwa kuongozana naye bank akatoe hizo hela akukabidhi
 
mara nyingi huwa nafanya hivyo, lakini nafanya kwa kitu nilichokuwa na uwezo nacho.....
siyo kujigeuza power tiller na wengine wanalala tu.
unajua rafiki kitu ambacho hakiniingii akilini wakati mimi nafanya kila kitu yeye hela zake anakuwa anafanyia nini? kama kila kitu hajigusi si mwenzangu atakuwa bilionea huko benki?
rafiki mie nahisi atakuwa trillionea manake hela yake ni ya kusave tu.
 
Me im with my mother 100% kwanini ujitese wakati wote uwezo wa kucover majukumu mnao! Ili mumeo akuone unampenda sanaaaa? Ah wapi!

Wanaume wanatakiwa wawe responsible sio kutegea wake zao.

Kama mtu hatoi measures zifanyike awe anatoa banaaaa!
 
rafiki mie nahisi atakuwa trillionea manake hela yake ni ya kusave tu.
umeona eeh!
mtu wa hivyo anatakiwa apate mtu anayem-push, labda ndo anachohitaji, sasa ukimkalia kimya tu hatajua kosa lake
 
karibu sana mwali!
nondo hazisomeki kwa wengi tatizo!kama hawazielewi vileeee

ila nimejifunza mwali kwamba watu hawanielewi kabisaaa. wengi hapa watabisha ila ngoja waende kwenye uhalisia hapa watakuja na story tofauti kabisaaaaaaaaaaa.
nitafutie cacico aje hapa atuambie je ni ya kweli haya??
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh!
mtu wa hivyo anatakiwa apate mtu anayem-push, labda ndo anachohitaji, sasa ukimkalia kimya tu hatajua kosa lake

yaani mm hapo kwenye ku push ndo siwez kabisaa, mm nitafanya manbo yaende na yy atabaki kushukuru tu.
 
basi mie nimeona hizi manake nilipokuwa nakuwa baba yangu alikuwa mtanashati asiyependa shida mama akatumika kuwezesha kila jambo nyumban mahal ambapo sikuona baba akileta utanashati ni kwenye kupokea hela tu hasa baada ya kuuza kahawa.

na sikuwah kuskia ugomvi kati yake na mama mpaka leo nimezeeka mie

Hapa naona umeuvaa mkenge??

Hivi mtoto anaweza kujua undani wa mipangilio ya wazazi kama hakuna mmoja wapo anayelalamika??

Kama si hivyo basi unaweza kukuta wenyewe walikuwa wanakubaliana na mama anashika mafungu hayo hayo ya kahawa na kusimamia mambo.

Honestly, watu wanapokaa pamoja, wanafikia mahali na kukubaliana kuwa mmoja wao ni mzuri kwenye jambo fulani na hivyo kujikuta anaachiwa kama jukumu lake.

May be that was the logic behind what you saw....??

Babu DC!!
 
yaani mm hapo kwenye ku push ndo siwez kabisaa, mm nitafanya manbo yaende na yy atabaki kushukuru tu.

na kupiga KAAAAZI!
a
ahahahahhahahhahaa mwaliiii chezeya mahabat wewe!ganzi za nywele mi nataka!uuwih!sitaki miimi!
 
ila nimejifunza mwali kwamba watu hawanielewi kabisaaa. wengi hapa watabisha ila ngoja waende kwenye uhalisia hapa watakuja na story tofauti kabisaaaaaaaaaaa.
nitafutie cacico aje hapa atuambie je ni ya kweli haya??
mimi sikubishii, naomba tu niseme labda sababu haya hayajanikuta ndo maana sielewi inakuwaje mpaka mwingine awe power tiller wakati wote mna kipato kizuri... labda hii mtu mzima mwenzangu Dark City asaidie kunielewesha
 
Last edited by a moderator:
yaani mm hapo kwenye ku push ndo siwez kabisaa, mm nitafanya manbo yaende na yy atabaki kushukuru tu.
mimi sitam-push kama najua hana kipato.... maana sitaweza kumwambia akaibe ili tusaidiane, lakini kama ana kipato sielewi kwa nini asichangie! na hasa kinachonichanganya ni kuwa hela zake anafanyia nini? yaani hapo itachukua muda sana kunielewesha
 
Hapa naona umeuvaa mkenge??

Hivi mtoto anaweza kujua undani wa mipangilio ya wazazi kama hakuna mmoja wapo anayelalamika??

Kama si hivyo basi unaweza kukuta wenyewe walikuwa wanakubaliana na mama anashika mafungu hayo hayo ya kahawa na kusimamia mambo.

Honestly, watu wanapokaa pamoja, wanafikia mahali na kukubaliana kuwa mmoja wao ni mzuri kwenye jambo fulani na hivyo kujikuta anaachiwa kama jukumu lake.

May be that was the logic behind what you saw....??

Babu DC!!

babu mpaka nasema hapa haya nina uhakika kabisa na hili. mbona hata mama alikua nasema wazi kamba baba yenu hapndi shida?? na huwez kuamini tulikua tunakwenda KIA kulima mama anaingia kaazini anajiiba natufwata shamba anapanda maharage kisha anarudi tena ofcn na kutuacha tunapanda kweye lile jua la KIA hadi kumsababishia mama kupata melanoma.

muda wote huo baba yuko kivulini na ilifika mahali tulimwuliza mama kwann haya mama akasema namjua mume wangu hapendi shida na akija huku ataumwa. ila uzuri wa baba mkirudi home mnakuta hata menu karekebisha fresh na maji katenga ya kuoga jikoni kwa jinsi alivyokuwa na upendo. nilikuja ku conclude kwamba baba yangu amezaliwa mtu wa aina hiyo so hawez kubadilika na sio kwamba anapenda ila ndo yuko ivyo.
 
Hapa naona umeuvaa mkenge??

Hivi mtoto anaweza kujua undani wa mipangilio ya wazazi kama hakuna mmoja wapo anayelalamika??

Kama si hivyo basi unaweza kukuta wenyewe walikuwa wanakubaliana na mama anashika mafungu hayo hayo ya kahawa na kusimamia mambo.

Honestly, watu wanapokaa pamoja, wanafikia mahali na kukubaliana kuwa mmoja wao ni mzuri kwenye jambo fulani na hivyo kujikuta anaachiwa kama jukumu lake.

May be that was the logic behind what you saw....??

Babu DC!!
hapa inaweza niingia akilini,
kama mimi ni mzuri kwa matumizi basi napewa resources zote nijue mwenyewe najipangaje ili mambo yaende.
Inawezekana kabisa rafiki yangu gfsonwin alikua hajui nini kinaendelea ndani kwa wazazi..... wamepangiana vipi majukumu.
yeye alichokuwa anaona akiomba ada mama ndo anatoa,
fundi wa rangi akija - mama anatoa
taa zimeungua - mama anatoa......
akajua mama ndo power tiller la home.... kumbe baba yupo behind kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom