gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
- Thread starter
- #101
hahaha! mario nao hiyo ni case tofauti kidogo ila huyu ninayemsema mie ni kwamba haoni tu kama haya yanahaitajika.Kuna rafiki yangu huu uzi wako utakuwa umemgonga kumoyo... ipo siku ntakuonyesha i wish.... wanaume wa namna hiyo si ndio hao tunawaita Mariooo, wanaume wa namna hiyo lazima kisaikolojia uwe tayari kuishi nao la sivyoo ngumu sana.
Kwakweli huyo shemeji yangu inafika mahali anachanganyikiwa ada za watoto,kodi ya nyumba, chakula na mavazi anahangaika yeye mwenyewe. jamaa yeye viti virefu na misele kibao akijifanya yuko bussy... jamani tujitahidi malezi ya watoto wetu wasijefanya haya makosa yetu
yeye huona sawa na hupenda kweli wife wake afanye milele