Wanawake wa zamani wanachapa kazi sana,,
Nimekua maisha ya mama ana kazi nzuri tu kiasi chake lakini sijawahi kuona akilipa ada au kufanya manunuzi yeyote makubwa... Ikifika muda wa kwenda shule anawakumbusha andaeni orodha ya mahitaji mumpe mzee haraka maana ana mambo mengi... Tena unakuta anachokoza wakati tupo kwenye chakula cha jioni mzee anabaki anaguna tu,,
Kuna siku dada yangu alimuuliza mama hela zako zinafanya nini akamjibu ndo hizo hizo zinazolipa ada, kujenga na mambo yote ila mzee ndo anazi control so huwa tunapeana wenyewe kisiri siri lakini mzee ndo anapaswa ku distribute kwenu mi nabaki na hela ya chakula na mahitaji madogo madogo ya familia...
Ila sisi kizazi cha dot com kila mtu mjanja,,, so cost sharing haiepukiki tena kwa kukabana kabana..
I real like Arabs lifestyle Mke anabaki nyumbani au anashinda dukani tu huku kapendeza,, mume ndo anachakarika kila kitu kiende sawa na wanaishi kwenye ndoa miaka mingi bila kukwarudhana,,,
Most of my friends wa kiarabu wamekuwa katika familia zisizo na mgogoro hata kidogo yaani zile za full bata,, na mama zao wavivu wanajua kupika tu na kupaka hina lakini waume zao wanachapa kazi wanahakikisha familia inaishi maisha mazuri, mke anendesha flashy cars, mahitaji kwenye malls, etc yaani mke ni full matunzo,
But wanaume wa kibongo kumtunza mwanamke tunaona kama tunampendelea na wake zetu wa kibongo wamekaa kisanii sanii ndo maana wanaachiwa majukumu maana ukimsaidia hachelewi pesa zake kuonga kina mario