Hard Disk Terabyte 4 bei gani? naomba kujifunza

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,379
Reaction score
3,152
naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
 
naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire tiime
Bei ni kuanzia laki mbili na nusu
 
naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
Hakuna kitu kama expire time, disk inaweza kukaa miaka ishirini bila shida au ikafa ndani ya wiki hauwezi kutabiri zaidi ya kuchukua tahadhari za kawaida kama kutoidondosha.
 
Maximum 150K mtaani ila unapata hadi 100K,

Health wa naangalia, kama unatumia windows crystaldiskinfo unaangalia health ya disk,
Mkuu, natamani kupata internet unlimited plan kwa bei poa. Sasa nakaa Kibamba, hakuna TTCL fibre wala tigo fibre. Nimeona Halotel wanasema wana plan ya kuuziwa line ambapo utakuwa unalipa Tshs. 50,000/= na kupata unlimited data. Kifaa cha kuwekea line utanunua mwenyewe. Swali langu kwa vile wewe ni pro wa haya mambo, vipi speed yao hawa jamaa ni poa? Router za bei nafuu ila kali ni zipi?
 
Hapo kuna mambo mawili
1. Speed kabla ya GB 100 za kwanza, hapa utapata speed kubwa, assume eneo lako Halotel ipo vizuri,

2. Baada ya GB 100 za kwanza speed itashuka na kuwa slow, utaendelea kuperuzi kwa speed ndogo details za speed ndogo utazipata hapa

3. Router nenda hapa
 
Hakuna kitu kama expire time, disk inaweza kukaa miaka ishirini bila shida au ikafa ndani ya wiki hauwezi kutabiri zaidi ya kuchukua tahadhari za kawaida kama kutoidondosha.
Kwa hizi HDD ye akae akijua hizo kudumu nazo ni kama unapoamua kuoa mke tu (NDOA)...
Unaweza funga ndoa kesho after one week au mwezi ikavunjika au ndoa ikadumu muda mrefu kutegemea na matunzo, ulinzi na kujali katika maisha ya ndoa.
 
Back
Top Bottom