Harambee za Lowassa zinakera

Harambee za Lowassa zinakera

nenda monduli ukajionee umeme na maji mpaka misituni primary na shule ya msingi zina utofauti wa kimaslahi
 
Umezoea kufanyiwa changia maendeleo ya elimu ya mtoto wako muda wa kuja kumchafua Lowasa JF ungeutumia kutafuta hiyo pesa.

mi nilifikir kapigwa miti shiiiiiiiit!!!kumbe kachapwa tuuu,na badooo,si hamtaki kuchngia mpak mlazimishwe
 
hiv hamuwez kujadili hoja bila ya kutukana matusi..maana hil jukwaa ni la siasa na siyo matusi mnakera...admin vp
 
binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???

Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!

Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???

Ni kweli huna 5000 mtoto asome?
 
niwaweke wazi enyi vijana... si kwamba nimeshindwa kulipa hiyo buks 5 nop!! uckurupuke tu kufanya kitu bila kufanya utafiti. hapa kama hamjanielewa nataka munielewe tena... bint yangu anasoma hapo mm ndie mzazi nae paswa kulipia michango yote na si yeye mtoto.
mtoto kaadhibiwa kisa hakuwasilisha mchango 5000/= wa harambee ya lowasa.
nimetinga hapo shuleni na kukutana na mwl. maelezo aliyotoa ni kwamba yeye anatekeleza amri kutoka uongozi wa juu.
nimemuuliza swali kuhusu huu mchango je ni mchango hiari au lazima? mwl amepata kigugumizi kujibu na mwishoe ametupia uongozi wa juu ndio umeamua hivyo.
ok kuhusu kuadhibiwa mtoto wakati yeye hausiki na malipo hayo alichosema ni kwamba mwalim aliye mchapa alifanya makosa nimekubali nimemuuliza adhabu umeshatoa je na mchango nitoe kwa lazima au hiari.. hapo ndio tumeshindwa kuelewana na kukosa jibu la kuridhisha..
nikamuuliza hiyo harambee lowasa anakuja kama nani,, jibu anakuja kama waziri mkuu mstaafu.. ----......
lowasa amekaa kwenye kiti hiki miaka miwili tu kachemsha kwa ufisadi na hatimaye akatimuliwa na MR PRESIDENT..
kwanini tusitafute watu wasafi ambao ni wastaafu na tunawakumbuka kama mzee mwinyi huyu ndio mstaafu.. au mr. sumaye waziri mkuu kwa zaidi ya miaka 10 hawa ndio wanaweza kuleta heshima kuliko kuleta mtu mwenye kashfa kibao za ufisadi???
hiii ni aibu kwa serikali na chama chenu.
mwalim nimemuuliza mimi nadaiwa mchango wowote wa mwanafunzi hapa shuleni ameangalia hakuna ninapo daiwa sasa iweje unishurutishe kulipa harambee 5000 ambayo si lazima na iwe kero kwa kijana wangu kutimuliwa..?? sasa nasubiri nione kama atatimuliwa hapo shuleni patachimbika...
mbunge wetu nae ni wa ajabu iweje mbunge mwenzio aje jimboni mwako kutoa mchango wewe unakuwa nyuma mwenzio aonekana yeye ndie jembe haya ni majanga... sasa hapa uchaguzi ujao inakuwaje kwako?? SHAME!!! DAM...T..
 
ametoka makanisani kumwaga pesa... Akahamia miskitini... Now!! Mashuleni!!! Akitoka huku anaingia jeshini jiandaeni na mahospitalini... Wote mtachangishwa... Pamb........ffffff...
Hapa hakatwi mtuuuuuuuu....
 
mi nilifikir kapigwa miti shiiiiiiiit!!!kumbe kachapwa tuuu,na badooo,si hamtaki kuchngia mpak mlazimishwe

wewe unakanyagwa pamoja na mumeo alie kuoa juzi mbwiga mkubwa wee!!
 
binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???

Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!

Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???
Ubwetee,kwani mara ngapi kaadhibiwa na wewe upo?
 
jiwe walilolikataa wajenzi sasa limekuwa jiwe la msingi na yeyote atakaye lichokoza litamsagasaga na yule atakayelikumbatia litamvunjavunja
Bora kuvunjwavunjwa kuliko kusagwasagwa (ASOMAYE NA AELEWE)
 
Kwahiyo wewe umeingiza hela kwa hii post yako ? Kweli lumumba imemwaga ajira

ishu sio kuchangia isipokuwa ni mazingira ya uchangiaji .huyu lowasa ndo yule tuliempenda sana pindi wazir mkuu coz alikuwa mchapakaz haswaa !!!then zito jembe la ukwel akatuangaza namna lowasa na richmond yke alivyokuwa akila mil 152 kila siku ya mungu kutoka ktk kodi zetu ilhal mitambo ipo dormant na haifany kaz ...hii ni mikataba ya kikolon ambapo ye alisain .jamii ikamvua madaraka kupitia bunge lkn had leo hajaomba msamaha kwa watanzania ...means alionewa ??kwa nn harambee zake zipambe moto tunapokaribia uchaguz ????bora kufa maskin kuliko kuish kwa maendeleo ya kinafiki kma hayo !!!
 
Acheni akili za kitoto na kuungana mkono kwenye mambo ya kijinga,ebu muulize amechangia harusi ngapi tena zaidi ya hiyo pesa ya bia mbili kwa return ya kupigiwa makofi kikaoni lakini buku tano inamfanya aende kununua vocha na kuja kumsema mchangia maendeleo ya nchi.Shame on you Misukule

Msukule ni wewe jinga maskini unayelipishwa tariffs kubwa za Umeme, kufidia ufisadi wa Mamvi na Richmond! Shame on you Kilaza no 1!!!! pambaaf!!
 
Ebu ficha ujinga wako muda wa siasa za majitaka umepitwa na wakati watanzania watamchagua mchapakazi na yule atakaewaletea maendeleo mengine baadae.

Mchapakazi ya wizi???????? No wonder majambazi wanaitwa mabilionea.... kakojoe ulale!!!!!!
 
Tahere 27 Oct. atakuwa anaomba wananchi pesa kwa ajili ya kanisa la RC Kijenge Arusha.
 
Mabadiliko ni sisi wenyewe kama huyo mbuge wa Temeke ameonekana hana ushawishi wa kuvutia watu kuchangia maendeleo yao lazima atumike yule anayeweza Mh.Waziri Mkuu mstaafu na Mbuge wa Monduli Bw. Edward Ngoyai Lowassa,acha ulimbukeni mbona kwenye mzunguko unatoa sana tu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???

Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!

Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???
Mkuu kinachokuuma ni kipi kuchangia Elimu au mtoto wako kuchapwa?kama ni kuchangia Elimu basi humjali mwanao kwa kuto support juhudi za kuboresha Elimu anayopata,Kama ni kuchapwa JE unauhakika Lowasa ndiye aliyeagiza hivyo?,au una chuki binafsi na Lowassa?,taasisi kubwa za Elimu duniani zimefanikiwa kwa sababu kuna watu Kama Lowasa wanaochangia kila Mara,sasa kwa nini tutegemee tu Serkali kufanya kila kitu?, njia iliyotumika na waandaaji wa hiyo harambee ya kulazimisha watoto kwa kuwachapa sio sahihi lakini sidhani Kama Lowasa anaweza agiza vitendo hivyo.
 
TAREHE 26 OCT LOWASA MBUNGE WA MONDULI (SIYOWAZIRI MKUU MSTAFU NI WAZIRI ALIYETIMULIWA NA KIKWETE KWA MANUFAA YA NCHI) NDIO MGENI RASMI ANAKUJA KUFANYA HARAMBEE ST ANTONI SEC SCHOOL mbunge wetu WA TMK yeye anakuja kama mgeni mualikwa this is SHAME!!!!!!!!
Nafikri tunahitaji tena ile sera ya kuzitaifisha hizi shule binafsi ili zisaidie watanzania wengi. Ada ziko juu michango ndo usiseme. Elimu ni huduma siyo biashara.
 
Tahere 27 Oct. atakuwa anaomba wananchi pesa kwa ajili ya kanisa la RC Kijenge Arusha.
Jana baada ya kusikia hilo Tangazo redioni likimtaja EL kuwa mgeni rasmi nilimuuliza wana-RC mkeleketwa aliyewahi kuniambia kuwa Yesu Kristu ndo mgeni rasmi katika ibada zao kuwa 'Ni lini Yesu Kristu amekoma kuwa mgeni rasmi mpaka mnamuita EL ndo awe mgeni rasmi kwenye ibada ya harambee? Au mkiwa mnatafuta pesa mnajaribu na sehemu nyingine?
 
Back
Top Bottom