Harambee za Lowassa zinakera

Harambee za Lowassa zinakera

PUMBAFUUUU....... Yaani mnaendekeza kumbeba fisadi serikali ipo wapi hiyo siyo kazi yetu kuchangia harambee za kipuuzi kwani michango ya shule tunaielewa lkn sio michango kama hii.. ya kampeni za kutaka urais tu
lowasa hawezi kuteuliwa kuwa rais kwa style anazotumia.. hela zake tunakula kama kawaida ila ajuee hawezi kuwa rais wa chi hiii atabaki kuwa mbunge wa monduli kwa huruma ya wamasai wake.

JK alishafunguka zamanii kuhusu lowasa kwamba hafai hata kwa kulumagia. TAMBUA HILO WSE MBURULAAA..[/COLOR][/SIZE][/B]

pole mkuu ila wewe ni mjumbe wa NEC wa CCM?
 
Kila siku anapewa hela na rafiki zake awataje hao rafik zake kina nani..
 
serikali itimize wajibu wake,kukusanya kodi na kutumia sahihi na sio kujitekea kama wanavyojifanyia sasa mpaka anawapita wanaowapa vibaba,matumizi ya hovyo ondoa,simamia mali ya watanzania vyema wala hakutakuwa na sababu yakuchapana bakora kama mkoloni wakjerumani
 
Kapigwa viboko na ENL au na walimu. Na wewe kwanini ulihaidi ukisema mtoto atakuja nazo kesho. Mburula kweli ww. UNASOMESHA MTOTOsT anthony,\ shs milioni 3.5 unalia na shs 5000. Mwongo unatunga tu kichwa cha panzi, mko wengi sishangai, nawaona maburula wenzio humu hata kufikiri hapana yanachukua kama yalivyo. Taabu sana hii. nA HUYO MBUNGE LEO NDIO unamwita mbunge wako. Nani alikwambia kuwa shule inaalika mbunge, inamwalika yeyote wanayetaka awe mgeni rasimi, acha ufwala
 
Hatuko hapa kujuana lakini hata wewe ninawasiwasi na uraia wako mtanzania halisi hana tabia na kulia katika kuchangia maendeleo ya taifa lake.Utakuwa ni muhamiaji haramu.

Kwa ujinga wake ye anadhani hiyo 5000 anampa Lowassa. Inaelekea hasikilizi Matangazo, Lowassa anaenda kutoa michango tu.
 
usiwe kama umetoka mirembe, anacholaumu yeye ni kupigwa binti yake kwa kosa la mzazi.

soma uelewe sio unakurupuka tu.!

Mi binafsi naona mzazi kachangia pia mwanae kupigwa. Hili suala ni la maendeleo kwa ujumla, asipotoa mchango nani atajenga Elimu??? Mbona muda kila siku humu Jf yupo, anashindwa kutunza 500 kwa siku 10 ili ampe mtoto 5000???
Kama kweli hana kabisa angeenda Shuleni na si kunyamaza kimya, Mzazi analaumiwe.
 
Mwala usiwe na akili Kama jina lako maendeleo lazima uchangie sio kulalamika hovyo kama Dr Kikwete anavyo lalamika na kusahau alicho ongea, jaribu kutizama nani alieleta iptl na Richmond ndio alieileta hakuna mpenda maendeleo kama Mh Edward Ngoyai lowasa nenda wilayani kwake uone acheni uzindaki shukuru mwanao atapata madawati na vitu vya muhimu shuleni pole sana

Yaani kitu cha maendeleo mtu anakipinga.
 
Kapigwa viboko na ENL au na walimu. Na wewe kwanini ulihaidi ukisema mtoto atakuja nazo kesho. Mburula kweli ww. UNASOMESHA MTOTOsT anthony,\ shs milioni 3.5 unalia na shs 5000. Mwongo unatunga tu kichwa cha panzi, mko wengi sishangai, nawaona maburula wenzio humu hata kufikiri hapana yanachukua kama yalivyo. Taabu sana hii. nA HUYO MBUNGE LEO NDIO unamwita mbunge wako. Nani alikwambia kuwa shule inaalika mbunge, inamwalika yeyote wanayetaka awe mgeni rasimi, acha ufwala

Ungemwambia na kuwa, mwenyeji hawi mgeni Rasmi.
 
Hana lolote huyo mamvi,mwacheni atapetape tu lakn urais hawezi upata.hatuwezi kuchagua jizi linalonunua watu kama njugu makanisani na miskitini kwa gia ya harambee.
 
[FONT=comic sans
ms]Ebu ficha ujinga wako muda wa siasa za majitaka umepitwa na wakati
watanzania watamchagua mchapakazi na yule atakaewaletea maendeleo
mengine baadae.
[/FONT]

maji taka huyajuiii???
ni yalee RICHMOND na IPTL Ndio majitaka yako wapi sasa? muulize fisadi wako atakwambia.. kikwete alimtoa kwenye serikali ajili ya ufisadi. sasa unachonga nini wewe mbwiga?
 
Mh. Lowasa naamini hautambui huo utaratibu/utaratibu waliojiwekea wazazi wezako kama sehemu nyingine nyingi,mfn sisi huku Bulyanhulu mwekezaji huchangia pale tunapokuwa tumechangia nguvu au pesa. Naona hiyo 5000/= umeipigia hesabu ya Kilimanjaro mbili. Apigwe tu tumechoka na tambua huyo ndiye rais 2015 kama hutaki meza sumu ya nyongo ya mamba. Unisamehe
 
binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya lowasa???

Vilevile nashindwa kuelewa huyu lowasa yeye ni mbunge wa monduli.. Sasa kuja huku tmk kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu???
Vilevilee huku tmk yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa lowasa? Badala yake lowasa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!

Kampeni za lowasa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule..
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya lowasa???

Pumbafu sn!nlikua cjui kama bado kuna mijitu kama hii,hivi unajua maana ya harambee wewe?giza kabisa.unataka maendeleo uletewe tu bila hata kuchangia chochote.shwain kabisa.
 
naona mzee wa sadaka kahamia rasmi upande wa shule ! Mkishachanga mwenzenu anatangaza kwamba kachangiwa na marafiki zake ! Poor Lowasa !
 
Back
Top Bottom