Mzee wa upako ana usemi mmoja hivi,Watajaribu watashindwa,naona wapinzani wa lowassa mnahangaika sana kumchafua but lowassa ni kama bomu la nyukilia halizuiliki kwa maji ya mto ruvu,mtake msitake lowassa tutampa nchi 2015 kwahiyo anzeni kuzoea tu.
Unaweza kutuonyesha wapi kuna document lowassa alifukuzwa uwaziri mkuu?Watu kama nyinyi ndio mjiandae kupata brain concusion maana 2015 lowassa ndio atakuwa Raisi wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.