MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Binti yangu amechapwa bakora kisa sijamlipia 5000= ya harambee ya lowasa hapa wilayani kwetu...
Imeniuma sana mtoto wangu kupewa adhabu wakati mzazi nipo. Je hiyo adhabu ndio uwe mchango wangu wa harambeee hiyoo ya Lowassa
Vilevile nashindwa kuelewa huyu Lowassa yeye ni mbunge wa Monduli.Sasa kuja huku Temeke kufanya kampeni hizo eti tuchangie halafu yeye atoe zake aunganishe na zetu .. Kwanza atueleze anazitoa wapi mbunge huyuu?
Vile vilee huku Temeke yupo mbunge wetu iweje sasa yeye awe kama msindikizaji tu badala kuwa ndio mgeni mkuu apokee huo mshiko wa Lowassa? Badala yake Lowassa ndio kafanywa mgeni mkuu... Shame!!!
Kampeni za Lowassa zilianzia makanisani baadae misikitini now! Zimehamia mashuleni tena tunaambiwa ni lazima kutoa hiyo harambee la sivyo mtoto hasomi shule.
Jamanii... Jamani... Wananchi wenzangu.. Hebu tusaidiane hili.. Kweli mwanangu afukuzwe shule kisa sijatoa 5000= ya harambee ya Lowassa?