mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
Yani we zezeta makupa nakuchukia! Ukisafiri ufie mbali jini mkubwa we!Du wanachi maskini wa tanzania wanachanga kidogo walichonacho then zitumike kwa ajili ya chopa lol
Kwa mwendo huu wa CDM mkulu anaweza akapata stress na kupiga mwereka mazee!!
Hili liko wazi kwa 98%
Na hata wale watumwa wao humu jamvini watatoweka mmoja baada ya mwingine!
Huu msako si wa kuwabakiza mafisadi Tanzania yetu ya ASALI NA MAZIWA!
Kudadek!!
]Alhaji Jafari kakabidhi Million moja kwa niaba ya tawi fulani kutoka Moshi.
Nasubiri propaganda za magamba
Harakati za kuleta uchumi mikononi mwa wananchi ulitangazwa Arusha 1967 thru Azimio la Arusha. Mwaka 1991 CCM, baada ya kushindwa kusimamia hilo, wakalichinjia Azimio la Arusha baharini kule Zanzibar!
Dk Slaa kasema M4C inalenga kurejesha raslimali za nchi kwa wananchi, na hili Movement for Change (M4C) linafufukia hapohapo Arusha.
Amen ameniHakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
Ajabu haijapata kutokea!CDM imezindua mpango wa kuendeshwa kwa nguvu ya umma huku ikirusha live na star tv.
Juma ya hela zilizopatikana cash kwa wale waliokuwa tayari kutangwa live ni zaidi ya millioni 200. Majumuisho yakifanyika usishangae ikawa mabilioni kwa watu wamekua wanatuma cheki na kuchanga kupitia M-PESA,TIGO PESA,AIR TEL PESA NK.
Katika hali ya kutatanisha TANESCO walikata umeme wakati kipindi kinarushwa katika jiji la Arusha.GENERATOR LATUMIKA KURUSHA MATANGAZO.
Source Star TV
Nimefika nyumbani saa 3.00 nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yanga alipata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini nachangia Shilingi Milioni Nne.
Wanaelewa tu wachache wanaofahamu kutafuta value ya kitu!Imebidi ni google lakini nikaambulia patupu ulikuwa na maana gani kuwa compaund wanachama.
Thanks mkuu kwa kuniupdate!!Hujui mkuu, Nassari ni mwali na mumewe ni Sioi, harusi tarehe 1 april
pole kwa kuuguliwa..Nimefika nyumbani saa 3.00 usiku huu, nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yangu aliyepata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini kama Muasisi wa Chadema nachangia Shilingi Milioni Nne.