Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Chamuhimu ni kuwa on top tu! CCM juuuu...
Mkitaka niwachangie hela ya kununulia leso za kufutia machozi baada ya kushindwa Arumeru nitafanya hivyo!


hayo maneno tu; hata kwenye khanga yapo.
 
Changia CHADEMA kwa ukombozi wa Mtanzania. PEOPLES POWER.................
 
Chamuhimu ni kuwa on top tu! CCM juuuu...
Mkitaka niwachangie hela ya kununulia leso za kufutia machozi baada ya kushindwa Arumeru nitafanya hivyo!

hili bakuli la kizalendo limekuudhi mpaka kufikia hatua ya kujizalilisha namna hii?
CCM wanachota fedha EPA il werevu wanaongea na raiya waliojikomboa kifikra kuchangia bakuli hili.
 
Anjelo amuomba Nassari azungumze kidogo!

Dogo kama kawa ameanza kukamua bila hirizi!
 
unatapatapa mheshimiwa. Nafikiri roho yako inakusuta from what you are writing
 
Tutachangia sana ila tunaomba hesabu kamili ya kiasi kilichopatikana isiwe kama zile za bakuli la kampeni ambazo hatujui zinaishia wapi jamni
 
Mwigulu umeipata iyo kutoka Iramba, anasema we ni mzinzi...bisha kama wewe c mzinzi na uliharibu mimba ya yule binti Igunga, uliua katoto tumboni mwa mama, pengine kangekuwa ka-Slaa 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…