Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Atakuwa wa CDM tu huyo lazima...
Wao ndio wenye tabia ya kuomba omba!

wana CCM hata nyekundu utasema njano,
inaelewaka kabisa Mkulu wa Kaya alihongwa Suti leo hii unakana? Dah! Yaani washikaji zangu kama January Makamba ana waste time ndani ya CCM kama wana chama wenyewe ndio akili kama hizi za kuukataa ukweli
 
Hii ni fursa ya pekee kwa wananchi kuichangia Chadema. Tukumbuke kuwa CCM inachangiwa na vibaraka na waporaji wa rasilimali za watanzania ikiwamo baadhi ya makampuni ya kimataifa yaliyopo Tanzania.
Itakuwa ni jambo la kujivunia sisi wananchi kujichangia kwa maendeleo ya demokrasia yetu na ndio namna ya kupambana kwa vitendo.
 
wamekaukiwa wanajaribu kutembeza bakuli, wanataka kushindana na CCM kwa pesa wataweza wapi!! CCM MASHINE KUBWA INASAGA NA KUKOBOA

Inasaga na kukoboa kwa pesa yako unayolipa kodi, yaani waliwa halafu unakenua meno.
 
bakuli hizi zinapendwa sana na mafisadiwanajitolea kuchangia kama hawana akili nzuri chadema oyeeee
 
Ndesamburo anasema wakati wanaikomboa Tanganyika enzi hizo wao walichangishana thumni thumni.
 
Kama anaweza kuchangia bilioni moja wanapitisha bakuli la nini wakati kwenye kampeni zao gharama huwa hazizidi mi.6

We umeambiwa wanasogeza chama kwa wananchi si kwamba hakuna pesa, mbona kichwa chako kigumu hivyo?
 
Michango muhimu!Ndesa ametukumbusha kwamba hata wakati wanapigania uhuru enzi hizo,walichanga !kwa hiyo wanaobeza huu mchango,hawajui historia!!
Anyway,mambo haya ni mazito sana,wazee wa DAR hawawezi kujua hayo!!
 
Back
Top Bottom