Harakati za Paul Kagame..

Harakati za Paul Kagame..

That's what the westerners are telling you... Stuoid westerners dividing us Africans and minimising our efforts.

I visited Kigali in 2008 I was gobsmacked..

Kagame is a great leader
yeah I heard from friend of mine who talked about the same story , He said how Kigali is very fascinating and morden city ..lol
 
Call him whatever but he is not doing it for personal gain. You have to be in Rwanda and understand where they came from to appreciate how they have managed to move on and put the past behind and excel beyond our imagination. The credit goes to Kagame.
If he was a bad leader, they would have revolted again by now.
There is little or no corruption at all in Rwanda, considering it is sorrounded by countries like ours.
Hajilimbikizii mali.
The unemployment rate is low.
He fires unethical ministers.
His people loves him unless they are Intarahamwe or followers of Ngeze's doctrine. I would also ofcourse make such vimeo disappear if it was up to me.
He has restored law and order.
Rwanda needs someone like Kagame to keep it together.
Not only Rwanda needs Him we African we need him as well
 
Wengi tunaona hivyo, lakini Wanyarwanda wenyewe, hususan waishio ukimbizini Ulaya wanatushangaa sana kwamba tunaweza kuona lolote la maana kuhusu Kagame. Vile vile, kuna wanaoona mazuri katika JK, wakitueleza tunaona kama wanatudhihaki vile!

Hao unaowaongelea wana matatizo yao, kuna wengine walihusika au wazazi wao walihusika katika mauaji ya halaiki, hivyo hawawezi kumpenda Kagame hata siku moja.
Jiulize ni wapi Africa wanatoa free access to Wifi wireless Internet at the capital city??
tumetembe hata nchi nyingi za ulaya,Usa pia hawatoi isipokuwa baadhi tu ya maeneo kama Hotelini,Airport n.k
Jaamaa ametoa laptop za bure kwa kila mwanafunzi kuanzia chekechea wanategemea kupewa.
Wananchi wa kawaida nao pia wanafunguliwa library za bure na kufundishwa kutumia computer.....jamani hayo ni madogo?????/
 
Even Gadaf is a great stateman,but autocratic and tyrant.
Nothing can be a substitute of human right even if is free milk
and honey like the biblical promised land.The guy is a dictator using
genocide theory as excuse for suppressing feedom of people.

Endelea na hayo hayo ya kusema Human right kwa kila kitu utapata faida yake, ndio maaana tunaona kila kikifikia kuwakamata watu ambao wako very suspected with corruption scandals Kikwete anasema ooh eti haki za binadamu...ooh uongo tu
Sometimes mafisadi wanzitumia hizo damn haki za binadamu ili kuwa nyonya zaidi.
zinduka.
 
...The man is very good ...but do I trust him? No and never ..Yes!!

Deep in his heart he covers something ....which ... when its uncovered you will know who is true KaGame...He is supper machine for developmental transformation..yes..

But Guys...Never Trust this man!! is just like the second M Gadaff!!
 
Nimetembelea Rwanda kwa kweli huyu ni kiongozi tunayemuhutaji.He is my role modal.
Nchi ya Rwanda iko mbali sana compare na cc Tz
Chukulia mifano ifuatayo 10,000 ya Tz ni sawa na 3,900 ya Rwanda
Vifaa vya ujenzi viko chini sana kiasi kwamba kila mwanachi anaweza kujenga na kupiga bati nyumba yake.
Kipindi nilichoenda 2010 walikua na program ya kila mwanachi ajenge nyumba ya bati asiyeweza anajengewa na serikali
Kiwango cha rushwa ni kidogo sana kulinganisha na Tz,wana slogan yao "Investment yes, Corruption No"
Huyu jamaa yupo kwa ajili ya kuwapa maendeleo wananchi kwa kweli watu wa chini wanaenjoy matunda ya serikali yao

Kilicho kizuri hakikosi kasoro,huyu jamaa ukiingilia anga zake na kumsema vibaya imekula kwako, kukufungulia mashtaka au kukuua, au ujikimbize mwenyewe kwenda uhamishoni
 
Mie naomba wetu asimame na familia yake :decision::decision:
 
[QUOTE
"We can no longer rely on the goodwill of other nations – we neither need to, nor should want to.We must assume effective leadership, take full ownership of the development of our countries and truly deliver for our citizens."
[/QUOTE]

Nimeichukua hiyo quote moja hapo juu ambayo inamfanya jk aonekane ni kituko kabisa maskini. JK ni mmoja wa marais wachache sana wa Africa ambao wanaamini sisi kama waafrika/watanzania hatuwezi kuendelea pasipokutembeza bakuri. Mnakumbuka kwenye kampeni zake alisema asipozurura tutakufa na njaa. Akiwa Iringa pia alitudhalilisha kwamba tumpe kura kwani rais Obama alimpigia simu kwamba ataendelea kutupa misaada, sorry jamani huku kama sio kuumwa ni nini? Kagame ni rais, everything aside Kagame is the president. jk ni rais kwa kuwa anaishi magogoni period.
 
Ni aibu kubwa kumlinganisha Kagame na JK. Kagame anatumia akili kuongoza nchi yake, mkwere ana subiri aambiwe na RA nini cha kufanya!
 
Kilicho kizuri hakikosi kasoro,huyu jamaa ukiingilia anga zake na kumsema vibaya imekula kwako, kukufungulia mashtaka au kukuua, au ujikimbize mwenyewe kwenda uhamishoni

Hiyo siyo kasoro, ukicheka na nyani utavuna mabua! Kama ana strategy za kuwakomboa wananchi masikini na kupunguza gap kati ya masikini na tajiri harafu unaleta ujinga wa kukwamisha lazima ushughulikiwe. The guy is very intelligent than Mkwere!
 
Hivi Tanzania tuna Presidential Scholarship? Kama ipo, imesaidia kwa kiwango kipi kwa vijana wenzetu?
 
Mkuu IY binafsi sijawahi kusikia kitu kama hicho kwa Tz. Zaidi huwa nasikia kuna wanafunzi wanaosomeshwa na Serikali yetu Marekani, UK na hata Canada, ila hizo scholarship sijawahi sikia zimetangazwa.. Zaidi utasikia za India na Algeria zikitangazwa ingawa siyo Presidential sch...
 
[QUOTE
"We can no longer rely on the goodwill of other nations – we neither need to, nor should want to.We must assume effective leadership, take full ownership of the development of our countries and truly deliver for our citizens."

Nimeichukua hiyo quote moja hapo juu ambayo inamfanya jk aonekane ni kituko kabisa maskini. JK ni mmoja wa marais wachache sana wa Africa ambao wanaamini sisi kama waafrika/watanzania hatuwezi kuendelea pasipokutembeza bakuri. Mnakumbuka kwenye kampeni zake alisema asipozurura tutakufa na njaa. Akiwa Iringa pia alitudhalilisha kwamba tumpe kura kwani rais Obama alimpigia simu kwamba ataendelea kutupa misaada, sorry jamani huku kama sio kuumwa ni nini? Kagame ni rais, everything aside Kagame is the president. jk ni rais kwa kuwa anaishi magogoni period.[/QUOTE]

Additional references of interest!

YouTube - CNN: Paul Kagame talks about Dead Aid and China
Paul Kagame, President of Rwanda, sits down with Fareed Zakaria to discuss his country. In this excerpt he talks about Dambisa Moyo's book Dead Aid and his goal to wean Rwanda off foreign aid. He also talks about China's economic influence (July 19, 2009).
NOTE his strong words: "We do not want any one to control us, no one owns us"

Also at the link below, listen to Dambisa Moyo, "aids are just band-aid solutions" follow her talks, at least if you can not access her book, I think you will agree with me that she is an African iron lady
YouTube - CNBC: Africans want to be entrepreneurs and don't want to rely on handouts
 
Additional references of interest! about President Kagame

YouTube - CNN: Paul Kagame talks about Dead Aid and China
Paul Kagame, President of Rwanda, sits down with Fareed Zakaria to discuss his country. In this excerpt he talks about Dambisa Moyo's book Dead Aid and his goal to wean Rwanda off foreign aid. He also talks about China's economic influence (July 19, 2009).
NOTE his strong words: "We do not want any one to control us, no one owns us"

Also at the link below, listen to Dambisa Moyo, "aids are just band-aid solutions" follow her talks, at least if you can not access her book, I think you will agree with me that she is an African iron lady
YouTube - CNBC: Africans want to be entrepreneurs and don't want to rely on handouts<!-- google_ad_section_end -->
 
Nyerere alisema si mapinduzi yote ni haramu!mapinduzi ya rwanda yalikua sahihi kabisa!inakuaje rwanda watuzidi matumizi ya pembejeo za kilimo pamoja na ukubwa wetu wa nchi?export ya kahawa,chai watuzidi?
 
kikwete kutoa lecture labda atoe ya women study nadhani ndilo aliliofuzu udocta
 
Namkubali sana PKagame.
Mie binafsi niwawahi kukaa Kigali na kuzingukia maeneo mengi sana.

kigali inakwenda kwa kasi saana na mambo utayaona kwa macho siyo ktk proposal km ilivyo hapa Bongo.

Ila maoni yangu ni kuwa Kagame aanze kumwandaa mtu atakaye mrithi asisubiri yakaja mkuta kama ya Gadhafi.

Nasema hivi kwa sababu, Gadhafi alisifiwa sana na watu wake kwa kuwaletea maendeleo makubwa, na kuweka vitu vingi bure kwa jamii, lakini alijisahau akidhani hapo ndipo atafia, sasa pamoja na mazuri yooote aliyoyafanya yanamtokea puani.

Misingi ya uongozi bora ni pamoja na kuandaa mazingira mazuri ya wale watakaoendeleza juhudi zake.

Tukiitizama TZ yetu, mwalimu alijitahidi sana kuijenga nchi baada ya mkoloni kuondoka:
TZ ilikuwa na viwanda karibu kila kona ya nchi tujiulize leo viko wapi? sababu wale waliofuatia walikuwa hawajaandaliwa vya kutosha na hivyo kusambaratisha uchumi wetu.

Mie nadhani TZ ingekuwa ni kioo cha nchi zote za EAC kimaendeleo na kwa kila kitu.TZ ni nchi pekee ktk EAC yenye rasilimali nyingi lakini bahati MBAYA ZINATAFUNWA NA WACHACHE.

Inasikitisha kuona Mbongo anaishi maisha ya Kifahari huku wengine wakiambulia chai ya rangi na andazi kwa siku! Hebu tujiulize ktk mazingira ya kawaida kabisa, mtu kumiliki nyumba za mabilioni ya pesa na magari ya kifahari hapa bongo, mtu mwenyewe ukimwangalia hajatokea katika asili ya utajiri, kama siyo wizi ni nini?

Imefika muda sasa wa wa TZ kuancha KUPIGA DOMO tu na kushabikia Mafisadi.
Tupate viongozi wenye uchungu na nchi yetu km Marehemu Sokoine na wengineo tuiweke sawa nchi hii na siyo kuchagua wapiga domo na vicheko au wacheza mdundiko.
 
Mkuu umenena, Ni rahisi zaidi kwa mtu kuendelea kuheshimika pale anapoamua kujiweka pembeni kabla watu hawajamchoka. Historia inatuonesha kuwa viongozi wachache sana wa nchi za kiafrika ambao waliweza kufanya hilo. Tutumaini kwamba Kagame atajifunza kwa wenzake akina Ghadafi na hatong'ang'ania madaraka mpaka aje kuchokwa na wananchi wake.
 
Back
Top Bottom