Hata kama wewe ni bingwa wa kuongopa, hapa umechemka cdm kinanguvu hata kusini nyanda za juu, mfano mbeya rukwa, iringa n.k. njama zako za kuingiza ukanda, ukabila, udini cdm, ushindwe na ulegee. Baba wa taifa alituonya, mwanasiasa aliyefilisika kama wewe hukimblia siasa za ukanda, ukabila na udini. Wewe ni mtu hatari kwa mustakabali wa taifa letu. Hii njaa yako ya siku moja isituharibie umoja na mshikamano wetu. Hapo kwenye kijani sijakuelewa, ulitaka waasisi wa cdm watoke wapi? Msoga chalinze kwa wakwele?