Harakati za Chadema na mbinu za kuchukuwa dola

Kwa maelezo yako wewe, huoni mkono wa Mbatia ktk kila jambo yaani yeye ana mkosi gani kila anapoweka mguu lazima kitu kinaharibika na sababu ni watu wengine sio yeye..Wewe Unamjua Mbatia kiasi gani nje ya chama hadi wewe kuweka dhamana juu yake? Hili ndio swali langu mimi ikiwa maelezo yako tu hapo juu utamwona Mbatia kila mahala akivuruga wanachama. Mwenye haki sii lazima asimame wamekufa kina Steve Biko, kina Che sifa wakapewa watu wengine. Hata huyo Mandela alikuwa Gaidi hadi majuzi tu 2004 ndio jina lake limeondolewa ktk list of Terrorist.. Utasema saana kutetea ya mjini huyajui na siwezi yaandika hapa.

Nimekupa tu list ya yale ambayo wanaomnyoshea kidole wanayatumia. Credits nikikutajia utazidi kushupaa eti namwekea dhamana. Kama unaona nidhamana iache hivyo hivyo, endelea kuamini hayo ya mjini nisiyoyajua. Hao unaosema walikufa, huoni their names live on. McKay na Martin Luther Jr. walipata kusema; kama kufa ni lazima basi tusife tu kama nguruwe. (Kifo cha Biko na wengine, ni kifo chenye thamani kubwa ati)

"If we must die, let it not be like hogs,
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursed lot.

If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
O kinsmen we must meet the common foe!

Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one deathblow!
What though before us lies the open grave?
Like men we'll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!"
 
Wanazi wa CDM ningependa kuona hoja za Ritz zinapanguliwa kwa kujibiwa kwa hoja nzito zilizosheheni mifano hai.Natamani sana wanazi wa CDM kama wangejifunza kitu toka kwa Mkuu Nguruvi3 , joka Kuu , Mkandara au Waberoya hakika mngekijengea heshima chama chenu kuliko kuvurumisha matusi.

Mkuu Ngongo ushauri wako ni wa ujenzi hivyo vichwa ulivyovitaja ni nguzo muhimu humu JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom