Happy Valantine DayAll Jamii Forum Members

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Nawatakia sikukuu njema wanaMember woooooote hapa Jamii Forum naomba tuongeze mapenzi zaidi katika sikukuu hii ya wapendanao!
Love_11.jpg
 
Nawatakia sikukuu njema wanaMember woooooote hapa Jamii Forum naomba tuongeze mapenzi zaidi katika sikukuu hii ya wapendanao!
Love_11.jpg

This L:A S-heart-2:VE is beautiful..... Thanks Ndallo, May it also be one of your BEST!
 
Upendo ni asili ya Mungu, Upendo ni Mungu mwenyewe, Mungu ndiye aliyeamuru watu wote kupendana na kila apendae amezaliwa na Mungu naye anamjua Mungu. Mpendwa ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi imetupasa na sisi Kupendana (1Yoh 4.11) Nawapenda familia yoote ya wana Jamii Forum pamoja na familia zao! Happy Valantine Day.
 
Aghrrr nyumba zote za kulala wagen zipo full na hawaruhusu kulala hadi asubuh,short time ndo mpango mzima! Na hela walipa fulla lol! Hii siku inachangia ukimwi
 
Happy valentine to yoo, msalimie Preta, nakumbuka aliikubali ofa yako ya valentine.
Nawatakia sikukuu njema wanaMember woooooote hapa Jamii Forum naomba tuongeze mapenzi zaidi katika sikukuu hii ya wapendanao!
Love_11.jpg
 
Happy valentine to yoo, msalimie Preta, nakumbuka aliikubali ofa yako ya valentine.

ha!...kwani anapokea simu yangu leo.....najuta kukubali wito ule....bora ningekubali kutoka na Mr Rocky...Valentine yangu imemiminikia chini hivi hivi.....ama kweli Ndallo amenitenda.....

ha!...kwani anapokea simu yangu leo.....najuta kukubali wito ule....bora ningekubali kutoka na Mr Rocky...Valentine yangu imemiminikia chini hivi hivi.....ama kweli Ndallo amenitenda.....

Mtu Chake hajambo?
 
nimemdip mpaka simu imepata moto.....kwani anapiga.....?...hakuna cha Vin Rouge wala Vin Blanca.......nimelia sana leo......mpaka kope zangu zimeng'ofoka.....

Masikini!!!
yaani wote wamekutosa?
Bahati mbaya niko booked tayari, ningekuletea angalau tishu za kufutia machozi..
Wapi Pii Jei?
 
ha!...kwani anapokea simu yangu leo.....najuta kukubali wito ule....bora ningekubali kutoka na Mr Rocky...Valentine yangu imemiminikia chini hivi hivi.....ama kweli Ndallo amenitenda.....

We si ulinitosa bana ukamuona Ndallo ndo wa maana
Bora hata amekutosa na mimi naringa sasa
Hata kama niko single ila naringa mbaya
Ndallo thank you so much
Happy Valentine too
 
We si ulinitosa bana ukamuona Ndallo ndo wa maana
Bora hata amekutosa na mimi naringa sasa
Hata kama niko single ila naringa mbaya
Ndallo thank you so much
Happy Valentine too

Kumbe tulitoswa wengi eeh!!!
ila kama uko available hebu nenda angalau kamfute machozi Preta Bana,,
kwa sasa hebu sahau maumivu ya kibuti ile ulipata wakati Preta anakutosa..
 
Back
Top Bottom