10 November 2023
Diwali, pia inajulikana kama Sikukuu ya Taa / Nuru , ni moja ya sherehe muhimu zaidi katika dini ya Kihindu. Sikukuu kwa ujumla huanguka katika miezi ya Oktoba au Novemba, kulingana na kalenda ya lunisolar. Ni wakati wa furaha, uchangamfu , na mshikamano, familia na jumuiya zinapokusanyika kusherehekea ushindi wa nuru dhidi ya giza na wema dhidi ya uovu.
Warm Greetings for Diwali (Festival of Lights) and Bandi Chhor Divas (Day of Liberation)
Diwali, also known as the Festival of Lights, is one of the most significant celebrations in the Hindu religion. The festival generally falls in the months of October or November, depending on the lunisolar calendar. It is a time of joy, happiness, and togetherness, as families and communities come together to celebrate the victory of light over darkness and good over evil.