Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Jamani kwa wale watanzania tulioko US, happy thaks giving kwa kila mtu. Kwa watanzania wenzangu walioko nyumbani na sehemu zingine duniani. Kila la heri na mafanikio kwa mwaka 2007.
Hii ni siku watu wanaacha kufanya kazi na kuanza kuhesabu faida na mibaraka waliyopata kwa mwaka (as far as I know). Leo hakuna unazi wa vyama kutoka upande wangu kwa hiyo nawatakia wana CCM wote kuanzia mkulu FMES popote alipo hadi mzee mutagikurwa na katibu wake wa tawi la ccm kule...... kwetu.
Happy thanks giving kwa mwenyekiti wa TLP na mkombozi wa wanawake - mzee wa kiraracha - Lyatonga Mrema. Na kwa wale wana CHADEMA, CUF na wengine wooote. Happy thanks giving!
Msongo wa maisha unazidi kuwa mkali lakini once in a while inabidi kutafuta sababu ya kufurahia na kushukuru MUNGU kwa nafasi ya kuishi. Kwa wengine weekend ndio imeanza hivyo. Kwa wale walioko bado kazini, nawatakia wooote kazi njema.
Thanks!
So you do celebrate a massacre of white Europeans to native Americans
Interesting...
.....
Hii ni siku watu wanaacha kufanya kazi na kuanza kuhesabu faida na mibaraka waliyopata kwa mwaka (as far as I know).
Game, if you would excuse me, she said as far as she knows....therefore, won't it be noble of you to explain to her and may be change her perception to the day instead of putting words in her mouth?!
Just a view, thanks.
SteveD.
Thanks MWK nakutakia Thanks Giving njema na usisahau kutubakishia Turkey na Viazi vya kupondwa na ikiwezekana niwekee sweet potato pie.Kila la heri Mwana mama!!!
Finally in 1789, Elias Boudinot, a delegate and statesman from New Jersey, made the move to establish a permanent day of Thanksgiving for the nation. A Congressional Joint Committee approved and on October 3rd, 1789, President George Washington proclaimed that the American people would observe a day of public thanksgiving and prayer. That year Thanksgiving was held on Thursday, November 26th. This began a tradition of Presidential proclamations concerning the meaning of Thanksgiving and the day it would be celebrated each year.