Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,186
- 56
Jamani kwa wale watanzania tulioko US, happy thaks giving kwa kila mtu. Kwa watanzania wenzangu walioko nyumbani na sehemu zingine duniani. Kila la heri na mafanikio kwa mwaka 2007.
Hii ni siku watu wanaacha kufanya kazi na kuanza kuhesabu faida na mibaraka waliyopata kwa mwaka (as far as I know). Leo hakuna unazi wa vyama kutoka upande wangu kwa hiyo nawatakia wana CCM wote kuanzia mkulu FMES popote alipo hadi mzee mutagikurwa na katibu wake wa tawi la ccm kule...... kwetu.
Happy thanks giving kwa mwenyekiti wa TLP na mkombozi wa wanawake - mzee wa kiraracha - Lyatonga Mrema. Na kwa wale wana CHADEMA, CUF na wengine wooote. Happy thanks giving!
Msongo wa maisha unazidi kuwa mkali lakini once in a while inabidi kutafuta sababu ya kufurahia na kushukuru MUNGU kwa nafasi ya kuishi. Kwa wengine weekend ndio imeanza hivyo. Kwa wale walioko bado kazini, nawatakia wooote kazi njema.
Thanks!