Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Tushamaliza kazi yetu na Mzee wa Rula yaani twasuiri mida mida .......
woow nahisi maandalizi yanaenda poa
Last edited by a moderator:
Tushamaliza kazi yetu na Mzee wa Rula yaani twasuiri mida mida .......
oh my dia this song made me cry i couldnt believe what i was looking. Thanks alotz n i love you
woow nahisi maandalizi yanaenda poa
ahsante sana Mzee wa Rula.. Arushaone kacomment ila kiunyonge sana
Ohh babby dont cry honey.... Unless yawe machozi ya furaha. This is special day for you, and i found this song and dedicate to u as a gift from my heart.
Love you to Arabela. Enjoy your day.
Ikiona hivyo kesha jua hana lake maana alikuwa hajui kama leo ni HB yako! Sincirely nasema Happy Birthday mamito. Zawadi zangu zinakuja zipo Korogwe zinakuja.
yeah ni yaani ni ya furaha tu my dia. Thanks alots jaman this gift sitosahau. I love you too shosti
Sawa best,nipo kwenye maandalizi. Filipo tafadhali tafuta ukumbi, mimisa utakuwa idara ya vinywaji ukisaidiana na Arushaone, Slave my kaka utasimamia usafiri pamoja na pakajimmy, Posh na Kaizer mtasimamia mziki, Mzee wa Rula na KOKUTONA mtasimamia chakula, YNNAH na FP mtakuwa kwenye mavazi. Lily Flower na da Zinduna mtakuwa kweye kamati ya nidhamu.