TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,256
Mkuu wanawake wa siku hizi hawataki maneno mengi ni mwendo wa miamala tuu 😀😂😂 Fala wewe
Mkuu wanawake wa siku hizi hawataki maneno mengi ni mwendo wa miamala tuu 😀😂😂 Fala wewe
Naelewa mkuu,Mkuu wanawake wa siku hizi hawataki maneno mengi ni mwendo wa miamala tuu 😀
Sasa wakati wewe unaenda nae taratibu akitokea mwamba akachomeka muamala wa maana itakuaje..?Naelewa mkuu,
ila Mwanamke wa mithali 31 naenda nae taratibu ntampenyezea rupia ila sio kwa sasa..
itakua sio ridhikSasa wakati wewe unaenda nae taratibu akitokea mwamba akachomeka muamala wa maana itakuaje..?
MamboHappy birthday kwako🎂 🥳 🎉
Kuna nini pmNaomba nije pm