Happy birthday to me

Happy birthday to me

Happy birthday 🎉 to you mrembo.
Hapo sasa ni mwanamke uliyeiva, umekomaa kiakili, kimwili na kimaisha.
Achana na kuhuzunika kama maendeleo yako yana wasiwasi, kumbuka. KILA KITU KINA WAKATI WAKE, ACHA KUJIPA PRESSURE, ENJOY LIFE BABES...
 
Unamiliki nywele nzuri sana hongera kwa matunzo. Sio jambo rahisi.

Hongera kwa mwaka mpya ulioingia na usiwe na mashaka wala usijikatie tamaa wewe ni wa thamani zaidi ya hivyo unavofikiri kuvimiliki.

Na kama unaishi hiyo nafasi ya huyo mwanamke wa mithali 31 basi tambua wewe ni mtu special sana.

Zingatia kutokuacha kulinda moyo wako daima na mema mengi mazuri utayaona yakithibitika kwako.

Neema ya Bwana Yesu Kristo na izidi kujifunua kwa upya na utofauti juu yako katika huu mwaka mpya ulioingia.

Gheto ni wapi keki ije kuliwa?
Amiiin amin
 
Happy birthday 🎉 to you mrembo.
Hapo sasa ni mwanamke uliyeiva, umekomaa kiakili, kimwili na kimaisha.
Achana na kuhuzunika kama maendeleo yako yana wasiwasi, kumbuka. KILA KITU KINA WAKATI WAKE, ACHA KUJIPA PRESSURE, ENJOY LIFE BABES...
Ahsante
 
Back
Top Bottom