Happy birthday to me

Happy birthday to me

No reform No election

Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year

Am 28 years old

Sina ninachomiliki


Age goo

Mit 4:23​

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Kila mtu atamiliki kitu kwa wakati wake, kama unapambana basi Mungu ni wa haki, Muda ukifika atakupa tu na anaweza kukupa kikubwa zaidi ya wengine waliopata miaka mitano kabla yako.
 
Ndyo ni zangu
Unamiliki nywele nzuri sana hongera kwa matunzo. Sio jambo rahisi.

Hongera kwa mwaka mpya ulioingia na usiwe na mashaka wala usijikatie tamaa wewe ni wa thamani zaidi ya hivyo unavofikiri kuvimiliki.

Na kama unaishi hiyo nafasi ya huyo mwanamke wa mithali 31 basi tambua wewe ni mtu special sana.

Zingatia kutokuacha kulinda moyo wako daima na mema mengi mazuri utayaona yakithibitika kwako.

Neema ya Bwana Yesu Kristo na izidi kujifunua kwa upya na utofauti juu yako katika huu mwaka mpya ulioingia.

Gheto ni wapi keki ije kuliwa?
 
Hata usiogope wingi wa miaka uliyo nayo, bali furahia, kuwa na tumaini na nia njema, zaidi sana kuwa wa shukrani na usiache kutabasamu wakati wote.
Heri ya siku ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom