Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
4,442
Reaction score
10,776
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.

Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.

Intelligent businessman nasubiri muamala wa keki na lunch hadi dinner on you
View attachment 2637038
 
Ngoja nikaandae Uzi😀😁, miaka mingapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom