ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,374
- 41,213
Happy birthday kaka mpenda mapishi
Amina
Ratiba ngumu aseee 😂Dogo Felix toka umeanza kula Bia mambo ya upishi umeacha kabisa 😊
😂😂 uje utembeleeHappy birthday kaka mpenda mapishi
Shukrani nitakuja kaka wa jiko😂😂 uje utembelee
umepika nn leo
Daah umeitupa jiwe a gani stop ruining the day of birthday boyunaweza kuwa mtoto wa kiume lakini usiwe mwanaume.
bwana mkubwa mwachiluwi hongera kwa kujiunga na maGen z
kuwa
Siku hiyo nataka unifungie ndani kabisa na funguo kaa nayooewaaa, Sawa hamna shida
Imeisha iyo mkuuShukrani nitakuja kaka wa jiko
Mie miguu nitaweka juu ya meza
Sijpikaumepika nn leo
Thank kk mkubwaIshi sana mkuu, you deserve to enjoy great food without having to cook it yourself.
Asante sanaHeri ya siku yako ya kuzaliwa
Hakuna mpare hapaUtani wa ngumi ujue shida ya wapare wafupi
Unakataa ukweliHakuna mpare hapa