Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,935
- 53,966
Basi tenamilk bottle a.k.a nyonyo za watoto hazina bei nitakununulia birthday yako ikifika maan bei zake ni kuanzia elf 2 kwenda juu
Basi tenamilk bottle a.k.a nyonyo za watoto hazina bei nitakununulia birthday yako ikifika maan bei zake ni kuanzia elf 2 kwenda juu
Kijana ukijitahidi kidg unapataiaFeliciano
Fellipe
Felix
Felician
Ndio hii una waambia hotel wakutengenezeeSasa kwanini uandike Happy Birthday kwenye sahani nyeusi badala ya kuandika kwenye Keki?
Kumbe keki ni hako kadogo tu shape ya triangle!
Ila natania tu,usinifokee naumwa Sikio.
😀😀😀
Asante sna mkuuPole sana kwa kupunguza mwaka mmoja kwenye miaka ambayo utaishi hapa Duniani.
ThnkHappy Birthday to you.
kuwaUnasherehekaje birthday mtoto wa kiume?
Anyways ishi saana mkuu
ThnksHappy birthday mkuu
Sawa mkuu asanteunaweza kuwa mtoto wa kiume lakini usiwe mwanaume.
bwana mkubwa mwachiluwi hongera kwa kujiunga na maGen z
kuwa
Ukiwa na maana ipi bossHappy birth day to you but kama utaweza tutengrnezee collections ya nyuzi zako zote za mapishi
Nimesha patia tayari,Kijana ukijitahidi kidg unapataia
😂😂Nimesha patia tayari,
Japo huwezi kukubali.
I'd love thaat, uniogeshe kabisa na maji ya hiliki.ponpon sio popcorn😂, mi nimemaanisha nyonyo ya kunyweshea watoto maziwa sio nyonyo hiyo ilokuja kichwani kwako alaaah😂😂
Pamoja kakaIshi Miaka mingi MwaCHII
😂😂😂 asanteHappy birthday Felix
One dayNjoo utembee Zenji kabla hujazeeka