Happy birthday to me jamani!

Happy birthday to me jamani!

Baba E, nakuheshimu sana sana tafadhali, usinipeleke huko plz plz wala tusitibuane, nina sababu gani ya kufanya hivyo? nimekosa kazi au? kama wewe una muda wa mchezo huo ni wako plz, wengine hatuna mida michafu.

Yaani kumbe bado ni yule yule Nyamayao - Hata siku ya Birthday unakuwa mkali...? wajameni? dah!!!!
 
I know today is your birthday Nyamayao and I can't be there
But I'll send you a special birthday gift and a little prayer
gift.jpg

Have a happy birthday
I hope that all of your birthday wishes come true
May you have a great time today and find happiness in everything you do.
LB-HB-Cake.jpg

Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOL

Kiukweli hebu ongea na Mzee Mwanakijiji atufanye premium Members kwenye ile makitu yake. Hapa hawa watoto, sorry wajukuu hawachelewi kutuchungulia wakati tunanyoa naniliu kwa kisu manake wembe unadunda.....

Mkuu umesahau pijo 504 na austin ni misamiati migumu kwao!
 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa mlimbwende.....

Mungu wangu akaipambe siku hii na ikawe ya furaha sana kwako na kwa wapendwa wako wote!

:A S-rose:
 
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOL

Kiukweli hebu ongea na Mzee Mwanakijiji atufanye premium Members kwenye ile makitu yake. Hapa hawa watoto, sorry wajukuu hawachelewi kutuchungulia wakati tunanyoa naniliu kwa kisu manake wembe unadunda.....

lol!nitakomaaaaaaje!
 
hahahaha, nimecheka mpaka nimepaliwa haki ya nani vile, unajua nini DC ndio mana sipendagi kusema umri wangu, labda kwa wanijuao wanaoweza kutabiri/otea huwa wanajaribu hilo, ki ukweli sipendi mtu aseme ni bado mtoto, mmama na watoto kadhaa naitwa mtoto,kingine nikiwaambia watu nina watoto hawaamini,hapo ndio nakasirika zaidi, na kama sio hii nembo hapa kidoleni(ring) nikikutokezea wewe utasema kigori ndio huyu, haahahah naita bado atii.

Sasa unakasirika nini Nyamayao?

Bado unadai halafu hutaki kuitwa mtoto.....? ....May be wewe ni tofauti..

Mie naona kama kuna siku Bibi DC anatibuka hadi anatamani kummeza mtu, ni pale anapoambiwa kuwa amezeeka...

Naamini hata wanawake wengine wanapenda kuonekana ni wakubwa ila hawajazeeka.....sasa inakuwaje wewe ukiambiwa ni Kigori unachukia??

Halafu unatuhesabia watoto, tena ambao uliwazaa wakati ulikuwa bado na umri wa kucheza rede!!

Haya bwana......basi wewe si mtoto bwana...:smile:!!

Babu DC!!
 
Nyamayao - Kumbe kuwa na Ma-ID kibao inapendezaga? Naona leo umetoka "Real" - Happy B'day

Baba E, nakuheshimu sana sana tafadhali, usinipeleke huko plz plz wala tusitibuane, nina sababu gani ya kufanya hivyo? nimekosa kazi au? kama wewe una muda wa mchezo huo ni wako plz, wengine hatuna mida michafu.

Yaani kumbe bado ni yule yule Nyamayao - Hata siku ya Birthday unakuwa mkali...? wajameni? dah!!!!

ulikuwa unanifananisha na nani sijui, ndio mana mtoto nikachukia, hahaha pamoja Baba E.

Hahahahahahahahahah,

Yaani nyie watu mmenifurahisha sana....

You can easily tell the difference between watoto na watu wazima....!!

Kweli wewe Nyamayao si mtoto tena...Nitamwambia mzee mwenzangu Asprin afute kauli yake...wewe ni "mkongwe mwenzetu"...ingawa miaka inakuangusha!!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umesahau pijo 504 na austin ni misamiati migumu kwao!

Duuuu....enzi hizo wenye 504 walikuwa kama akina RA wa sasa....!!

Hii life ni kama kichaa...hakuna mtu huwa anategemea kwamba ipo siku atahangaika kuutafuta unywele mweupe kichwani na asipate hata mmoja!!

Babu DC!!
 
Umenichekesha sana wewe Preta...umenikumbusha hii sms nilitumiwa jana...

Mme: nackia mayowe na shangwe kwa jirani kwan kuna nini?
Mke: wanasherekea birthday
Mume: ya nani?
Mke: ya Tuyu
Mme: Tuyu ndo nani?
Mke: mi cjui ila nackia 2 wanaimba hapy birthday Tuyu
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom