snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
kama mimi enh?
kama mimi enh?
kama mimi enh?
wala si uongo ati!kazi yake si mchezoKumbe na wewe unapenda premature promotion/upgrdading?
Haya bwana....hata wewe snowhite tunakubali kuwa eti ni "Mkongwe mwenzetu"...lol!!
Umenikumbusha enzi zetu...kabinti hata kakiwa 13 years, kakishaolewa kanadai eti nako ni kakubwa....!!
Haina neno kwani kazi mnayofanya kuwabeba na kuwanyonyesha hao wenzetu kama alivyosema Nyamayao si haba ati!!
Babu DC!!
wala si uongo ati!kazi yake si mchezo
we unafanya masikhara kukatizwa kucheza rede!
sasa mkinikataa huku na kule kwa kina lara 1 sifit tena lol!
ah humu humu bana!
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
Happy B day aisee
DR Riwa hajakununulia zawadi?
basi atupishe tujisogeze kama haelewi somo lol
Hey......nimekumiss kiaina!
Whats up gal?
I am good.........very good.I think I missed you more hadi imebidi niku alert kiaina... Lol. Am good broda, what of you? (so happy to see you).
Mfadhili hapa upo kichama au kimaslai zaidi?I am good.........very good.
uwe unanisalimu bana......napataje raha unavyonipaga Hi??!!
I am good.........very good.
uwe unanisalimu bana......napataje raha unavyonipaga Hi??!!
Mfadhili hapa upo kichama au kimaslai zaidi?
Naaam nipo wangu mzima wewe? Naona Bigi anataka kwenda kinyume na matakwa ya chamaKimey nakusalimu... Alafu acha ukorofi! Lol.
Naaam nipo wangu mzima wewe? Naona Bigi anataka kwenda kinyume na matakwa ya chama
Weee.....acha kuingilia maslahi yangu wewe.Naaam nipo wangu mzima wewe? Naona Bigi anataka kwenda kinyume na matakwa ya chama